SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Hao wanaondika huu ujinga ni wanaccm. Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu alisha sema kuanzia sasa hadi October ni parefu lolote laweza tokea huyo ndiye Membe.Kumbe huwa hamjifunzi tu? Why msirecruit wanachama wenu ambao mmetoka nao mbali na die hard fans wa vyama vyenu? Kwa kufuata huu upepo na gesi ya Pepsi,CCM itaiongoza nchi hii kwa miaka mingine 30 au 50 ijayo
Huyo ni kibaka wa CCMNina wasiwasi na usafi wa nia yako! [emoji28]
Hatutaki ujingaHuyu Membe akigundua hawa janja janja CCM wameiba kura sidhani kama atakubali usuluhishi kama alivyofanya lowassa...
Upinzani jaribuni kete yenu kwa Membe huwenda akawatoa kimasomaso...
Akuoe kabisaaaaaMembe ana uwezo wa kuendana na matakwa yote ya upinzani, ni msikivu na ana busara
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu umemind kinyamaa hapaaAkuoe kabisaaaaa
Sahau mzeee yani Magu ndo kashachukua Urais kupitia CCM membe hata Nec ikikaa kamwe haiwezi pangua maamuzi yaliyopitishwaa maana nao wanajali tumboo..Hao wanaondika huu ujinga ni wanaccm. Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu alisha sema kuanzia sasa hadi October ni parefu lolote laweza tokea huyo ndiye Membe.
Akwende zake ishiii..!Tuliza akili bro, huyu jamaa ni jasusi na ana mbinu zote za kuwezesha upinzani kushinda uraisi mwaka huu. Ni karata turufu
lowasa alikuwa mgombea mgonjwa ndio maana alishindwa, chadema walikaribia kushika nchi.Yawezekana lakini naona ni yale yale ya lowasaa
Nafahamu ila nilikuwa nawasisitizia hao vijakazi wa CCM wanaoleta kejeli zao kuwa huyo Membe hatuna mpango naye kama wanampenda wampitishe huko kwao, hatuwezi kurudia makosa ya 2015.Sahau mzeee yani Magu ndo kashachukua Urais kupitia CCM membe hata Nec ikikaa kamwe haiwezi pangua maamuzi yaliyopitishwaa maana nao wanajali tumboo..
Yeye Lowasa kwa kauli yake alisema kuwa alishinda kwa kishindo ila wajuba walimchezea karata tatu.lowasa alikuwa mgombea mgonjwa ndio maana alishindwa, chadema walikaribia kushika nchi.
Wewe wasema.Lissu ni bora kuliko Membe na ma CCM wote.
Membe siyo CCM, ni mtu huru, alishafukuzwa CCM.
Membe ni tofauti na Lowasa, Lowasa alishindwa kuikosoa CCM akiwa ndani, wakati Membe kamkomalia jiwe humohumo ndani ya CCM.
Kwa kweli Membe ni mpinzani kuliko Waitara, Kafulila, Katambi, Kitila Mkumbo, Mtatiro, Dr Slaa, Mama Mghwira na wengine wengi waliounga mkono juhudi!
Lazima tumpokee mwenye pesa hakatariwi.Ni kweli anaweza kuwavusha uko ccm sisi huku upinzani hatumuhitaji.
Kama kweli mnampenda mpeni nafasi huko ccm.
Mwaka huu upinzani ukipokea kapi ndio utakuwa umejizika rasmi.
Miaka mitano iliyopita wapinzani uliowaamini sana leo wamehamia CCM!
kwa hiyo Chill out, Siasa ni sayansi, ni mchezo wa kuzichanga karata kwa hiyo stay tuned watch the game!.
Hata Maalim Seif amewahi kuwa CCM leo ni mpinzani nguli.
Kama Nyalandu aliyetokea CCM anataka urais kupitia Chadema kwa nini Membe kama akijiunga upinzani asiwe na haki hiyo?
Kura yako ni moja tu acha twende na kura za wengiNaona aibu mimi hayo unyoyasema mkuu,
Mimi Chama chochote cha Upinzani kikimsimamisha Membe kijiandae kukosa kura yangu ya uraisi wa JMT