Uchaguzi 2020 Membe anaweza kutuvusha upinzani kuliko Lissu

Uchaguzi 2020 Membe anaweza kutuvusha upinzani kuliko Lissu

Kumbe huwa hamjifunzi tu? Why msirecruit wanachama wenu ambao mmetoka nao mbali na die hard fans wa vyama vyenu? Kwa kufuata huu upepo na gesi ya Pepsi,CCM itaiongoza nchi hii kwa miaka mingine 30 au 50 ijayo
Hao wanaondika huu ujinga ni wanaccm. Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu alisha sema kuanzia sasa hadi October ni parefu lolote laweza tokea huyo ndiye Membe.
 
Huyu Membe akigundua hawa janja janja CCM wameiba kura sidhani kama atakubali usuluhishi kama alivyofanya lowassa...

Upinzani jaribuni kete yenu kwa Membe huwenda akawatoa kimasomaso...
Hatutaki ujinga
 
Hakuna kosa UPINZANI WATAFANYA KAMA KUMPA MEMBE nafasi ya Kugombea urais kupitia chama chao na alivyomjanja jamaa anasema "KAMA WAKIUNGANAA WAKANIPA RIDHAA YA KUGOMBEA" nasema yatawakuta ya Lowasa na CCM washajua upinzani hawana Direction yani so wao wanachukua waliokataliwa na CCM wakidhani kuwa itawasaidia leo hii.

Lowasa karudi CCM
Sumaye karudi CCM

Upinzani acheni Ujingaa kuliko kukubali Membe awawakilishe aisee bora hata msisimamishe Rais uchaguzi huu komaeni na wabunge tu japo napo huko hali mbayaa
 
Nendeni mkanywe nae chai maana DJ Mbowe ametolewa knockout na Konyagi.
 
Hao wanaondika huu ujinga ni wanaccm. Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu alisha sema kuanzia sasa hadi October ni parefu lolote laweza tokea huyo ndiye Membe.
Sahau mzeee yani Magu ndo kashachukua Urais kupitia CCM membe hata Nec ikikaa kamwe haiwezi pangua maamuzi yaliyopitishwaa maana nao wanajali tumboo..
 
Sahau mzeee yani Magu ndo kashachukua Urais kupitia CCM membe hata Nec ikikaa kamwe haiwezi pangua maamuzi yaliyopitishwaa maana nao wanajali tumboo..
Nafahamu ila nilikuwa nawasisitizia hao vijakazi wa CCM wanaoleta kejeli zao kuwa huyo Membe hatuna mpango naye kama wanampenda wampitishe huko kwao, hatuwezi kurudia makosa ya 2015.
 
huyu Membe na yeye ni wale wale tu,
Upinzani tusipokuwa makini tunapigwa kama tulivyopigwa na yule mfugaji mwenye nywele nyeupe.
 
Naunga mkono hoja. Mimi ni Shabiki wa CUF lakini nawakubali sana Lazaro Nyalandu na Benard Membe na nitampigia kura yeyote kati yao atakayegombea kupitia chama chochote kile.
 
Membe siyo CCM, ni mtu huru, alishafukuzwa CCM.

Membe ni tofauti na Lowasa, Lowasa alishindwa kuikosoa CCM akiwa ndani, wakati Membe kamkomalia jiwe humohumo ndani ya CCM.

Kwa kweli Membe ni mpinzani kuliko Waitara, Kafulila, Katambi, Kitila Mkumbo, Mtatiro, Dr Slaa, Mama Mghwira na wengine wengi waliounga mkono juhudi!

Naona aibu mimi hayo unyoyasema mkuu,

Mimi Chama chochote cha Upinzani kikimsimamisha Membe kijiandae kukosa kura yangu ya uraisi wa JMT
 
Ni kweli anaweza kuwavusha uko ccm sisi huku upinzani hatumuhitaji.

Kama kweli mnampenda mpeni nafasi huko ccm.

Mwaka huu upinzani ukipokea kapi ndio utakuwa umejizika rasmi.
Lazima tumpokee mwenye pesa hakatariwi.
 
Miaka mitano iliyopita wapinzani uliowaamini sana leo wamehamia CCM!

kwa hiyo Chill out, Siasa ni sayansi, ni mchezo wa kuzichanga karata kwa hiyo stay tuned watch the game!.

Hata Maalim Seif amewahi kuwa CCM leo ni mpinzani nguli.

Kama Nyalandu aliyetokea CCM anataka urais kupitia Chadema kwa nini Membe kama akijiunga upinzani asiwe na haki hiyo?

Usifananishe kabisa kesi ya Maalim Seif na Membe.
Maalim Seif ni mpiganiaji haki toka akiwa ndani ya CCM, na ameingia upinzani kwa ajili ya harakati za ukombozi wa kweli.
Membe ni fisadi la CCM la miaka mingi linalokuja upinzani kwa ajili ya uchu wa kutaka kuwa Raisi tu, hana tafauti kabisa na Lowasa. wote shida yao ni uraisi tu na si wana mabadiliko.
 
Back
Top Bottom