Uchaguzi 2020 Membe anaweza kutuvusha upinzani kuliko Lissu

Uchaguzi 2020 Membe anaweza kutuvusha upinzani kuliko Lissu

Usikariri,maisha yanabidilika,siasa ni mikakati ya muda mfupi,ya kati na muda mrefu.
That kind of experiment ilikwishafeli 2015

Wapinzani wakirudia ujinga huo nitawashangaa sana
 
Nimefuatilia na kumsikiliza kwa makini sana Mh. Membe (jasusi mbobezi) na nimekubaliana nae kuwa anaweza kuwa mtu sahihi sana kuliko wagombea wengine wa upinzani.

Membe ana uwezo wa kujenga hoja na ikakubalika hii ni kutokana na ujasusi wake hivyo ni faida kubwa sana kwa Upinzani
Membe ana utumishi uliotukuka ukilinganisha na wagombea wengine wa upinzani, hivyo kuna faida nyingi kuwa mgombea wetu wa upinzani.

Membe ni mwanadiplomasia nguli na anaweza kuirudisha Tanzania mahali ilipokuwa kimataifa.

Membe ni karata turufu sana kwa wakati huu kwa kuwa ameshajimbambanua kupambana na Magu, hivyo ameshajiandaa na urais.

Upinzani tumpe nafasi membe apeperushe bendera yetu kuliko kuwaachia wengine ambao sidhani kama wana ushawishi kama Membe

#2020upinzani na jasusi mbobezi#
Tatizo sio kushinda tatizo liko kwenye kutangazwa huo ushindi.
Yaani kabla hata matokeo hayajatangazwa anawekwa chini ya ulinzi hafurukuti nakuambia labda akimbilie nje
 
Huyu Membe akigundua hawa janja janja CCM wameiba kura sidhani kama atakubali usuluhishi kama alivyofanya lowassa...

Upinzani jaribuni kete yenu kwa Membe huwenda akawatoa kimasomaso...
Kwa nini nyie ccm ndo mnampigia debe sana mtu wenu agombee upinzani? Yaani nyie mnapenda Sana upinzani kuliko wapinzani wnyw?!

Ni sawa ukute Wana-Yanga wanakomalia kupanga safu ya simba kabla ya mtanange kati yao!
 
Membe ana nafasi kubwa kwani anakubalika ccm na pia upinzani. Wakati huu ambapo wanannchi wanahitaji sana kuwa huru ndani ya nchi yao na huku ccm wakiwa hawana hata chembe ya dalili za kutoa uhuru huo , ni wakati sahihi kwa vyama vya upinzani kumsimamisha mtu kama Membe.
Ccm kwa kificho watauunga mkono upinzani.
 
Nimefuatilia na kumsikiliza kwa makini sana Mh. Membe (jasusi mbobezi) na nimekubaliana nae kuwa anaweza kuwa mtu sahihi sana kuliko wagombea wengine wa upinzani.

Membe ana uwezo wa kujenga hoja na ikakubalika hii ni kutokana na ujasusi wake hivyo ni faida kubwa sana kwa Upinzani
Membe ana utumishi uliotukuka ukilinganisha na wagombea wengine wa upinzani, hivyo kuna faida nyingi kuwa mgombea wetu wa upinzani.

Membe ni mwanadiplomasia nguli na anaweza kuirudisha Tanzania mahali ilipokuwa kimataifa.

Membe ni karata turufu sana kwa wakati huu kwa kuwa ameshajimbambanua kupambana na Magu, hivyo ameshajiandaa na urais.

Upinzani tumpe nafasi membe apeperushe bendera yetu kuliko kuwaachia wengine ambao sidhani kama wana ushawishi kama Membe

#2020upinzani na jasusi mbobezi#
Utopolo [emoji817]%
 
chama ni watu na membe anakuja na watu
Mazingira ya 2015 na ya leo hii 2020 ni tofauti sana.Umati wa watu aliokuja nao Lowasa ni kazi ya mtandao alioujenga kwa miaka kumi, jee Membe amewekeza nini katika miaka hii mitano?
 
Naona unalipwa kuja kumchafua jasusi mbobezi, kama unaona membe hafai basi hama upinzani.kwanza hakuna mwenye shida na kura yako
Membe ndio chaguo letu upinzani na tupo tayari atuvushe
Huo ukachero bobezi wake angeutumia tu kuhakikisha anakuwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM ,huku sisi tumeenea.
 
Usimfananishe membe na watu wa ajabuajabu. Membe ndio karata turufu na pekee kwa upinzani
Mazingira ya 2015 na ya leo hii 2020 ni tofauti sana.Umati wa watu aliokuja nao Lowasa ni kazi ya mtandao alioujenga kwa miaka kumi, jee Membe amewekeza nini katika miaka hii mitano?
 
Back
Top Bottom