Naanzaje kuwa mpinzani? Ila siku mkisimamisha mgombea anae jielewa nitamchagua.
Naichukia CCM, lakini nakosa nguvu ya kuwachukia warembo wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naanzaje kuwa mpinzani? Ila siku mkisimamisha mgombea anae jielewa nitamchagua.
pombe mwenyewe hujawahi kumpigia kura,upinzani utakuja kuharibu kura tuNaanzaje kuwa mpinzani? Ila siku mkisimamisha mgombea anae jielewa nitamchagua.
That kind of experiment ilikwishafeli 2015
Wapinzani wakirudia ujinga huo nitawashangaa sana
Usikariri,maisha yanabidilika,siasa ni mikakati ya muda mfupi,ya kati na muda mrefu.
Tatizo sio kushinda tatizo liko kwenye kutangazwa huo ushindi.Nimefuatilia na kumsikiliza kwa makini sana Mh. Membe (jasusi mbobezi) na nimekubaliana nae kuwa anaweza kuwa mtu sahihi sana kuliko wagombea wengine wa upinzani.
Membe ana uwezo wa kujenga hoja na ikakubalika hii ni kutokana na ujasusi wake hivyo ni faida kubwa sana kwa Upinzani
Membe ana utumishi uliotukuka ukilinganisha na wagombea wengine wa upinzani, hivyo kuna faida nyingi kuwa mgombea wetu wa upinzani.
Membe ni mwanadiplomasia nguli na anaweza kuirudisha Tanzania mahali ilipokuwa kimataifa.
Membe ni karata turufu sana kwa wakati huu kwa kuwa ameshajimbambanua kupambana na Magu, hivyo ameshajiandaa na urais.
Upinzani tumpe nafasi membe apeperushe bendera yetu kuliko kuwaachia wengine ambao sidhani kama wana ushawishi kama Membe
#2020upinzani na jasusi mbobezi#
Huo ukachero bobezi wake angeutumia tu kuhakikisha anakuwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM ,huku sisi tumeenea.Kachelo mbobezi...
mkuu mbona unabana!Huo ukachero bobezi wake angeutumia tu kuhakikisha anakuwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM ,huku sisi tumeenea.
Kwa nini nyie ccm ndo mnampigia debe sana mtu wenu agombee upinzani? Yaani nyie mnapenda Sana upinzani kuliko wapinzani wnyw?!Huyu Membe akigundua hawa janja janja CCM wameiba kura sidhani kama atakubali usuluhishi kama alivyofanya lowassa...
Upinzani jaribuni kete yenu kwa Membe huwenda akawatoa kimasomaso...
Ukiumwa na nyoka ukiona unyasi lazima ustukemkuu mbona unabana!
Utopolo [emoji817]%Nimefuatilia na kumsikiliza kwa makini sana Mh. Membe (jasusi mbobezi) na nimekubaliana nae kuwa anaweza kuwa mtu sahihi sana kuliko wagombea wengine wa upinzani.
Membe ana uwezo wa kujenga hoja na ikakubalika hii ni kutokana na ujasusi wake hivyo ni faida kubwa sana kwa Upinzani
Membe ana utumishi uliotukuka ukilinganisha na wagombea wengine wa upinzani, hivyo kuna faida nyingi kuwa mgombea wetu wa upinzani.
Membe ni mwanadiplomasia nguli na anaweza kuirudisha Tanzania mahali ilipokuwa kimataifa.
Membe ni karata turufu sana kwa wakati huu kwa kuwa ameshajimbambanua kupambana na Magu, hivyo ameshajiandaa na urais.
Upinzani tumpe nafasi membe apeperushe bendera yetu kuliko kuwaachia wengine ambao sidhani kama wana ushawishi kama Membe
#2020upinzani na jasusi mbobezi#
chama ni watu na membe anakuja na watuUkiumwa na nyoka ukiona unyasi lazima ustuke
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kama alishindwa Lowasa ndo ataweza huyu..?Membe ana nguvu kubwa sana nyuma yake, anatupeleka upinzani ikulu mwaka huu. Mark my words
Mazingira ya 2015 na ya leo hii 2020 ni tofauti sana.Umati wa watu aliokuja nao Lowasa ni kazi ya mtandao alioujenga kwa miaka kumi, jee Membe amewekeza nini katika miaka hii mitano?chama ni watu na membe anakuja na watu
Huo ukachero bobezi wake angeutumia tu kuhakikisha anakuwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM ,huku sisi tumeenea.
Mazingira ya 2015 na ya leo hii 2020 ni tofauti sana.Umati wa watu aliokuja nao Lowasa ni kazi ya mtandao alioujenga kwa miaka kumi, jee Membe amewekeza nini katika miaka hii mitano?
Hiyo ni ndoto ndugu, Lissu ni machine kubwa zaidi ya membe.