Membe arejeshewa kadi yake ya CCM

Membe hana lolote. Debe tupu. Hii move ni ya kumfurahisha ndugu yake JK lakini hata wao wanajua huyu mtu ni liability
 
Je atachukua form ya kugombea urais kama alivyofanya kipindi cha JPM
 
Mzee wa kuingia dakika ya 89 na kufunga goli
 
Jamaa ni Mtu wa mtu alietumika kumtisha Adui wa Mtu na mission ikafanikiwa

Ni vema na ni haki yake.

Lkn siasa za upinzani zimemuacha uchi Membe na zimetuwezesha kujua kuwa kumbe alibebwa na mfumo tu. Hana lolote na Wala siyo chochote.

Membe ni hawezi kujenga hoja kabisa. Hana mvuto na anaongea kike.
 
Kuna wachambuzi wanadai ni kawaida duniani kote. Wanatolea mfano Kenya, DRC na USA,
Hao niwachambuzi wa mchongo ambao wengi wao hawana objective information. Si ajabu jpm ameshaondoka still anabebeshwa zigo la mavi, wengine ndio walitengeneza consipiracy nyingi zidi ya mjomba magu, sababu hakuna kwenye dynasty zao
 
Ok.. ...!
 
Huwezi kujua ubora wa Kitanda kwa kukiangalia

Umuhimu Membe sio kusimama Jukwaani na kuzungumza

zamani CCM tulikuwa na Mwenyekiti wa Wenyeviti wa CCM kutokea Singida Mzee Mmoja mnene Mweusi anaevaa Bangili Mkononi Mbunge wa takriban 40 years Mgana Msindai watu walikuwa wanashangaa kila uchaguzi unarudi sasa wale Jamaa wa Singida walikuwa hawaelewi kwanini anarudishwa tu Bungeni

Chadema walipovaba wakampa Lowassa nafasi ya Kugombea Urais 2015 Chama kikamtuma tena Msindai akamsindikize Lowassa

sio kila Mwanasiasa ndani ya CCM kazi na uwezo wake ni kwny kuhutubia
Membe hana lolote. Debe tupu. Hii move ni ya kumfurahisha ndugu yake JK lakini hata wao wanajua huyu mtu ni liability
 
Who cares? He’s a worthless politician!
 
"Nikishamwaga wino mwekundu pale kwenye uwanja wa taifa..jioni tutakua na tafija"[emoji28]

#MaendeleoHayanaChama
 
Jamaa alimkimbia mwendazake, sasa hivi karudisha majeshi ...karudi huku akiwa kibogoyo..meno yote kwishaaa...wameyang'oa.
Bao la dakika ya 89
 
Jamaa ni Mtu wa mtu alietumika kumtisha Adui wa Mtu na mission ikafanikiwa
Jamaa ni mtu wa smile alietumika kumtisha stone na mission ikafanikiwa!KWA kuharibu uchaguzi na kupoteza uhalali wa kijasusi wa serikali hiyo!!!na stone akashughulikiwa!!!

Nimejitahidi ku decode sijui kama nimefanikiwa!!!
 
Kumbe ilikuwa ni function kbsa
 
Kumbe ilikuwa ni function kbsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…