Umesema kweliNimesema uongo ndugu zangu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema kweliNimesema uongo ndugu zangu?
Urais sio meno useme kila mtu anayoJe atachukua form ya kugombea urais kama alivyofanya kipindi cha JPM
Hemu tuwelage buli?It will never happen
Ni vema na ni haki yake.
Lkn siasa za upinzani zimemuacha uchi Membe na zimetuwezesha kujua kuwa kumbe alibebwa na mfumo tu. Hana lolote na Wala siyo chochote.
Membe ni hawezi kujenga hoja kabisa. Hana mvuto na anaongea kike.
Kama nakuelewa hivi!!Jamaa ni Mtu wa mtu alietumika kumtisha Adui wa Mtu na mission ikafanikiwa
Hao niwachambuzi wa mchongo ambao wengi wao hawana objective information. Si ajabu jpm ameshaondoka still anabebeshwa zigo la mavi, wengine ndio walitengeneza consipiracy nyingi zidi ya mjomba magu, sababu hakuna kwenye dynasty zaoKuna wachambuzi wanadai ni kawaida duniani kote. Wanatolea mfano Kenya, DRC na USA,
Ok.. ...!Hao niwachambuzi wa mchongo ambao wengi wao hawana objective information. Si ajabu jpm ameshaondoka still anabebeshwa zigo la mavi, wengine ndio walitengeneza consipiracy nyingi zidi ya mjomba magu, sababu hakuna kwenye dynasty zao
Membe hana lolote. Debe tupu. Hii move ni ya kumfurahisha ndugu yake JK lakini hata wao wanajua huyu mtu ni liability
Mmeanza!!Redio mbao zinasema kuwa membe ndiye raisi 2025 hii ni baada ya mama kuwekwa pembeni na chama chake....
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe, leo amekabidhiwa kadi ya CCM na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho Shaka Hamdu Shaka, makabidhiano hayo yamefanyika Chiponda mkoani Lindi..
Awali Membe alifukuzwa uanachama na chama chake na kisha kujiunga na chama cha ACT Wazalendo na aligombea kiti cha Urais katika uchaguzi wa mwaka 2020. ambapo kupitia kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kupitia Mwenyekiti wake Samia Suluhu Hassan, mnamo Machi 31 mwaka huu kilitangaza kumsamehe na kumrudishia uanachama wake baada ya kuandika barua ya kuomba msamaha.
Membe amerejea Chama cha Mapinduzi (CCM) sambamba na wanachama wengine zaidi ya 1,000 wa vyama vya upinzani waliorejesha kadi katika mkutano huo.
Hilo ndio Wazo lililo nijia kichwani baada ya kusoma tu huu uzi.Redio mbao zinasema kuwa membe ndiye raisi 2025 hii ni baada ya mama kuwekwa pembeni na chama chake....
Bao la dakika ya 89Jamaa alimkimbia mwendazake, sasa hivi karudisha majeshi ...karudi huku akiwa kibogoyo..meno yote kwishaaa...wameyang'oa.
Jamaa ni mtu wa smile alietumika kumtisha stone na mission ikafanikiwa!KWA kuharibu uchaguzi na kupoteza uhalali wa kijasusi wa serikali hiyo!!!na stone akashughulikiwa!!!Jamaa ni Mtu wa mtu alietumika kumtisha Adui wa Mtu na mission ikafanikiwa
Kumbe ilikuwa ni function kbsaAliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe, leo amekabidhiwa kadi ya CCM na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho Shaka Hamdu Shaka, makabidhiano hayo yamefanyika Chiponda mkoani Lindi..
Awali Membe alifukuzwa uanachama na chama chake na kisha kujiunga na chama cha ACT Wazalendo na aligombea kiti cha Urais katika uchaguzi wa mwaka 2020. ambapo kupitia kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kupitia Mwenyekiti wake Samia Suluhu Hassan, mnamo Machi 31 mwaka huu kilitangaza kumsamehe na kumrudishia uanachama wake baada ya kuandika barua ya kuomba msamaha.
Membe amerejea Chama cha Mapinduzi (CCM) sambamba na wanachama wengine zaidi ya 1,000 wa vyama vya upinzani waliorejesha kadi katika mkutano huo.
View attachment 2243583