Uchaguzi 2020 Membe au Lissu msisahau kuusema uozo wa "undugunaization", tribalism na nepotism wakati wa Kampeni

Waliombiwa wana vyeti fake walifukuzwa ili ndugu wa watu wapate pa kushika
Hii ni kweli kabisa itakuwa Kuna watu walifanya replacement tayari. Si tunafikiri Kuna Kuna magepu bado. Mana kufukuza wafanyakazi wengi bila kuziba gemu ni muhimu kuhoji ilo gemu lilizibwa vipi. Inawezeka limezibwa kwa vimepo kabisa. Worst government ever.
 
........kama wana sifa HAINA SHIDA, Zamu yako itafika; hiyo nafasi ya Urais hata ukipewa wewe, huwezi kuacha ndugu zako wenye sifa kuwa na kazi nzuri na kuwawezesha ili mradi wawe na sifa. Kuwa mpole
 
........kama wana sifa HAINA SHIDA, Zamu yako itafika; hiyo nafasi ya Urais hata ukipewa wewe, huwezi kuacha ndugu zako wenye sifa kuwa na kazi nzuri na kuwawezesha ili mradi wawe na sifa. Kuwa mpole
Kuwa na kazi nzuri kwa nduguzo ni sawa issue ni je wanaingia kwa sifa au upendeleo?
 
Nliangalia mishahara ya REA, HR anakula 5M
DG 16M
Dereva na wahudumu 1.9m

Hivi Jesca alisomea coz gani??
Nakumbuka kama vile ualimu. Hata hivyo kuna jamaa yangu pale nitamwuliza atanijuza kama aliwahi kubadili fani akasoma na U-HR!
 
Hakuna binadamu asiye mkabila, au mbinafsi, hayupo na wala hatatokea, wapo wasiowapa nduvu lakini huwapa mahawala au watoto na ndugu wa mahawala na hata majirani. Ubinafsi ni (necha) ya mwanadamu, ingawa kelele husaidia kumfanya mwanasiasa apunguze roho ya ubinafsi.
Asilimia kwabwa ya wapinga ukabila ni wakabila kwa asili. Mimi siwezi kuwa raisi wa nchi, nalitumikia taifa alafu namuacha mtoto wangu nyumbani hana kazi. Ebu kabla hujamuhukumu mwingine mtazame mtoto wako alafu tafakari jinsi unavyompigania. Angali usizushe mambo pia ni dhambi.
 
Bila undugunisation na viti maalumnisation Chadema itabaki na nani?
 
Katika wote hao wanaoula yule mwenye njaa wa humu ndio yeye peke ake hajaula
 
kwani jesca alikuwa wapi kabla hajahamishiwa REA
 
Jesca si juzi tu alikuwa udom kwani tayari amekula shavu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…