Uchaguzi 2020 Membe au Lissu msisahau kuusema uozo wa "undugunaization", tribalism na nepotism wakati wa Kampeni

Uko vizuri sana
 
Uliandikaga huu Uzi muda ule wale walivyojazanaga TRA kisa tu wao ndio waliosoma tu Tanzania ama ni kwa zama hizi tu umeamua kuandika ama kuliona hili. Shida ni nini ama hawana sifa kama elimu ama ni nini unachoumia nacho kwani. Ukipewa mkate ule utawapa wanao mle nao ama utawaacha wafe njaa afu uwaite Wa jirani yako kisa hakuna undugu ama?
 
Hizo kanda ambazo zimetupwa na zilizopewa muda Wa kanda zilizopewa na ambazo zimepewa saivi zilipewa enzi hizo.

Hii ni nchi na sio kabila mbili kama Rwanda pumbafu. Kwani Hao sio watanzania waliopewa hizo nafasi. Kwani j jpm hastahili kuwa rea jamani.
Ila awamu hii imekuwa too much, kuna kanda au makabila yametupwa kabisa ktk teuzi.
[/QUOTE
 
Kwa sasa kila sekta utakuww mkubwa ni msuu... malizia na ...**** liko waz kabisa ushahidi wa kutosha angalia mashirika yote ya serikali saivi...kagua yote
Mbona una waza kikabila sana jamani. Wewe muangalie huyo aliyepo hapo hapafomu ama hana vigezo ama yeye sio mtanzania jamani. Hatutoi nafasi za kazi kwa kubalance makabila aikambe.

Twende chadema enzi hizo viti maalumu mademu walikuwa kama 16 sijui afu 13 walikuwa ni aika Mae. Na je crdb Ikoje mpaka saivi. Nyani haoni kundule.
 
Kusema ukweli nchi imeharibiwa kishenzi na huyu jama na wala hanaga aibu kabisa. Ni kweli alivyosema tukiendelea hivi tutafika pabaya sana kwanza sasa hivi akili za watu zimekuwa za kujipendekeza na kufanya mambo kibabe sana, huyu jamaa ameharibu utu wa watanzania. Natumaini mwisho wake hautakuwa mzuri.
Ila awamu hii imekuwa too much, kuna kanda au makabila yametupwa kabisa ktk teuzi.
HAKUNA MGOMBEA WA CHAMA CHOCHOTE ALIYEMSAFI WA KUKEMEA HILI!

OTHERWISE UKEMEAJI UANZIE NDANI YA VYAMA!

KAMA WANAWABEBA WAKIWA WENYEVITI WATASHINDWAJE WAKISHIKA DOLA?

MAUMIVU NI KWA SABABU YANATOKEA UPANDE WA PILI
 
Sasa mbona unajiliza Liza kuwa ukabila kuteua kufuata kanda. Komaa na biashara sasa. Hayo unaowaongelea nawajua nje ndani. Hakuna sehemu unayoenda hapa Tanzania watu wanapenda wakujue mwenyeji Wa wapi kama huko kwao.

Yani aika mae / ambe kitu cha kwanza ama salamu yao ya kwanza ni aisee wewe ni Wa wapi anataka kujua kabila. Fungua duka moshi uone kama kuna mchaga atakuja kwako ama hata ukiwa dar hakuna MCHAGAa atanunua kwako kama jirani Ji mchaga Wao
 
Mnufaika!
 

Hapo kaka umemaliza jamaa walipendeleana na walifanya wasiyopenda kufanyiwa ila saivi yanawatokea wanaumiaje. Ni kama anayechepuka na wake za watu siku Wa kwake akipigwa anaumia kinyama mpaka anataka kuua MTU.

Na Hayo hao wanaoleta maada za ukabila yani binafsi jamaa naona hawana Sera. Wao wanashindana kikabila kuwa wao kabila lao ni bora sana.

Wana tribalism mentality pamoja kuwa wamesoma. Wanabaki kujifariji kuwa ni wapiganaji wapo Zambia ,Malawi n.k eti kama wahindi ama waarabu hawajikubali mpaka watumie reference ya mhindi.

Kwani yeye anajua ni wahindi wote wanaopigana. Nenda Mumbai ukajionee masikini na omba omba walivyojazana mitaani
 
Mleta mada umekuja na mada nzuri ya kukemea ukabila katika ajira, lakini pia huwa nawashangaa wana JF wengi pindi watu wakilalamika udini katika ajira huwa wa kwanza kumtetea Jiwe, Ila linapokuja suala la Ukabila katika teuzi na ajira huwa wa kwanza kukekemea kwa nguvu zote au hii ni kwa sababu wengi wao ni dini moja naye lakini kabila tofauti kwa hiyo wanajihisi jukumu la kumtetea mwenzao kwa misingi ya imani?

Kuna unafiki mkubwa sana katika suala hili!
 
Kwa hiyo wewe mke wako unapigiwa tu!
 
Ntakujibu kama mwakyembe alivyojibu akapigwa chini. Yani nimeongea maneno mingi ila wewe unachomoa maneno miwili na kuyaleta kama hoja aisee Muraaa
Tuambie Mura inawezekana mwenzetu ukipigiwa unaona poa tu kwa sababu hupigi wake za wenzio!
 
Na haya yakiendelea hv tuombe uzima tutakuja kubaguana sna kwa maeneo na kanda tulizotoka
 
Sio huko tu hadi Kanada wapo wanauza mavi ilimradi wapate Hela. Si Unamjua kule Hela mbele hata kwa kutoa kafara baba
 

Attachments

  • Screenshot_2020-07-22-16-47-40.png
    214.8 KB · Views: 2
  • Screenshot_2020-07-22-16-54-06.png
    170.7 KB · Views: 2
  • Screenshot_2020-07-22-16-47-49.png
    246.2 KB · Views: 2
  • Screenshot_2020-07-22-16-45-43.png
    181.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_2020-07-22-16-42-44.png
    306 KB · Views: 2
  • Screenshot_2020-07-22-16-38-26.png
    223.1 KB · Views: 1
  • Screenshot_2020-07-22-16-37-56.png
    163.5 KB · Views: 1
Pitia huyu mshkaji anavyopigana huko ng'ambo na kutuma kanadiani dolari ,Fiber,cable,aussie,kiwi,yen na bucks or coco Kilimanjaro huku wewe ukituma za madafu mkuu🤩😘😂😍 .
Jamaa mmoja kuwa aliyesema kuwa wapo Zambia,Malawi ,DRC Dubai,Yemen, hata sayari ya mars wapo kuwa ni waisrael weusi pia hawana asili ya kitanzaniA.

Unaitwa masander nimeshindwa Ku tag jina mana MIE sijasoma
 
Wakiliongelea hilo tu wategemee kutoambulia kura usukumani ambako ndio kunawapiga kura wengi,Wasukuma watapiga kura kikabila zaidi na mshindi atakuwa ameshajulikana tayari,huu mchezo hauhitaji hasira mjomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…