Uchaguzi 2020 Membe kuunguruma Alhamisi 16 Juni 2020

Uchaguzi 2020 Membe kuunguruma Alhamisi 16 Juni 2020

kwamba sisi hatuna akili za kujifunza ya nyuma ? Muwe na subira na Pia mtambue Kuwa Kuna Watu wana akilitimamu
Wewe zaidi sana unatafuta ruzuku tu! Huna jipya!
 
TAARIFA KWA UMMA.

Kesho tarehe 16 Julai 2020, Waziri wa Mambo ya Nje Mstaafu, Mwanasiasa na Mwanadiplomasia mbobezi Ndugu Benard Membe atazungumza na Wanachama wa ACT Wazalendo.

Ukumbi: Mlimani City

Muda: Saa 4.00 Asubuhi.

Waandishi wote mnakaribishwa.

Janeth Rithe, Naibu Katibu, Idara ya Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma, ACT Wazalendo.

Simu: 0745899913

15 Julai 2020.View attachment 1507601
Huyu membe mnamkuza sana utadhani ana la maana na mtu muhimu sana tanzania hii, kumbe hana lolote ni mwepesi sana sana sana.
 
TAARIFA KWA UMMA.

Kesho tarehe 16 Julai 2020, Waziri wa Mambo ya Nje Mstaafu, Mwanasiasa na Mwanadiplomasia mbobezi Ndugu Benard Membe atazungumza na Wanachama wa ACT Wazalendo.

Ukumbi: Mlimani City

Muda: Saa 4.00 Asubuhi.

Waandishi wote mnakaribishwa.

Janeth Rithe, Naibu Katibu, Idara ya Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma, ACT Wazalendo.

Simu: 0745899913

15 Julai 2020.View attachment 1507601
Huyu ni mtu sahihi kabisa na amekuja kwa wakati sahihi upande wa upinzani. Ni ukweli usiopingika huyu ni bonge la 'asset" ambaye upinzani unamuhitaji sana zaidi ya yeye anavyowahitaji wapinzani.
 
ivi mfano membe akashinda uraisi, je upianzani watakua wameshinda dhamira yao ya kuwatoa ccm madarakani?
 
Membe amejitoa kuwa mwanakondoo wa sadaka

ni jasiri.
 
Anaaenda kutafuta Urais akikosa hana sababu inayomfanya aendelee kuwa sehemu ya Upinzani!
 
TAARIFA KWA UMMA.

Kesho tarehe 16 Julai 2020, Waziri wa Mambo ya Nje Mstaafu, Mwanasiasa na Mwanadiplomasia mbobezi Ndugu Benard Membe atazungumza na Wanachama wa ACT Wazalendo.

Ukumbi: Mlimani City

Muda: Saa 4.00 Asubuhi.

Waandishi wote mnakaribishwa.

Janeth Rithe, Naibu Katibu, Idara ya Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma, ACT Wazalendo.

Simu: 0745899913

15 Julai 2020.View attachment 1507601
Membe zilipendwa huyooooo.

Hana tena jipya, akae nyumbani aleee wajukuu.

Magufuli oyeeeeeeee
 
Back
Top Bottom