Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
MATAGA hawaja elimika.Upuuzi mtupu nani aliongea Zanzibar na kusema atawatoa mashehe wa uhamsho akichaguliwa kuwa Rais?
Wanatufanya watanzania wote wapumpavu kama wao.
Mataga yanajifariji, kwa taarifa tu hakatwi mtu na sheria tunazijua kuliko huyo Membe.
Asipokatwa?Tundu Lisu anakatwa na hakuna kitu wewe au yeye mtafanya, ...
Ni kweli. Nimemsikia Mkurugenzi wa NEC alipokuwa akihojiwa na Dr. Ryoba wa TBC akijibu swali hilo. Kuwa hadi sasa Tume haijateua mgombea yeyote,hivyo haina mgombea. Hadi itakapoteua tarehe 25.08.2020, ndo itakuwa na meno ya kushughulikia mtu. So, hata CCM wanapiga kampeni kidizaini kwa matamasha ya muziki, TVs, makongamano ya dini nk. Nafikiri kama ni kweli, sisi ccm ndo tumetangulia kuvunja,japo NEC haina meno kwa sasa.Lissu ni mkongwe wa sheria ni wazi hajakurupuka,anajua alifanyalo,wajichanganye kumuengua uchaguzi UTASIMAMA.