Uchaguzi 2020 Membe: Mimi nilitafuta wadhamini kimya kimya kukwepa mtego wa kuvunja kanuni na kuanza kampeni mapema

Wasalaam wana jamvi!

Mgombea wa ACT Wazalendo jana alikwenda mahakama kuuu kula kiapo kwa judge ... alipoulizwa na waandishi kuhusu njia yake ya kutafuta wadhamini aliweka wazi kabisa yeye alikuwa mtulivu kusoma kanuni na sheria hivyo ndio maana alitumia njia ya kutafuta wadhamini kimya kimya ili asivunje kanuni alizo zisoma na kuzielewa!

Alisema wazi kabisa hakutaka kuingia kwenye mtego wa kuanza kampeni kabla ya muda maana muda ya kujinadi bado haujafika mpaka hapo watakapo vuka kiunzi cha kuteuliwa na tume!

Ni wazi kuna mtu hapa alikuwa ana kumbushwa na kutumiwa salamu!

Wape salaaam....

Mswahilikavaasuti
Membe ni mwanaccm mwenzetu msimwamini Sana wapinzani IPO siku atarudi. Ushahidi kauli Kama hiyo.
 
Wasalaam wana jamvi!

Mgombea wa ACT Wazalendo jana alikwenda mahakama kuuu kula kiapo kwa judge ... alipoulizwa na waandishi kuhusu njia yake ya kutafuta wadhamini aliweka wazi kabisa yeye alikuwa mtulivu kusoma kanuni na sheria hivyo ndio maana alitumia njia ya kutafuta wadhamini kimya kimya ili asivunje kanuni alizo zisoma na kuzielewa!

Alisema wazi kabisa hakutaka kuingia kwenye mtego wa kuanza kampeni kabla ya muda maana muda ya kujinadi bado haujafika mpaka hapo watakapo vuka kiunzi cha kuteuliwa na tume!

Ni wazi kuna mtu hapa alikuwa ana kumbushwa na kutumiwa salamu!

Wape salaaam....

Mswahilikavaasuti
Watu tuliwaonya humu mapema MTU huyu ashauriwe, ndo huko kujirank you everything, yaani umuch know mpaka inakupelekea kutoa boko.
 
Kama kampeni hata Magu amefanya sana tena na kualika wasanii kabisa. Pale anachukua form pia alifanya kampeni tena na kuinadi ilani ya ccm. Alisema ilani ya mwaka huu ni kubwa kuliko hata ya 2015. So kama ni kukatwa yeye ndio akatwe.
 
Membe naye mjinganjinga alitakiwa kubabiki ccm mpinzani gani mwoga analeta unafiki wa ccm na siasa za analog wapinzani wanafanya siasa za kidigital muda mrefu, Membe bodo yuko nyuma sana aAchane na upinzani amefeli kabla ya kuanza
QUOTE]
Mkuu una akili kishenzi. Membe ni kama anamfitini Lissu lakini hawatafanikiwa. Kama kampeni hata Magu amefanya sana tena na kualika wasanii kabisa. Pale anachukua form pia alifanya kampeni tena na kuinadi ilani ya ccm. Alisema ilani ya mwaka huu ni kubwa kuliko hata ya 2015. So kama ni kukatwa yeye ndio akatwe.
 
Wasalaam wana jamvi!

Mgombea wa ACT Wazalendo jana alikwenda mahakama kuuu kula kiapo kwa judge ... alipoulizwa na waandishi kuhusu njia yake ya kutafuta wadhamini aliweka wazi kabisa yeye alikuwa mtulivu kusoma kanuni na sheria hivyo ndio maana alitumia njia ya kutafuta wadhamini kimya kimya ili asivunje kanuni alizo zisoma na kuzielewa!

Alisema wazi kabisa hakutaka kuingia kwenye mtego wa kuanza kampeni kabla ya muda maana muda ya kujinadi bado haujafika mpaka hapo watakapo vuka kiunzi cha kuteuliwa na tume!

Ni wazi kuna mtu hapa alikuwa ana kumbushwa na kutumiwa salamu!

Wape salaaam....

Mswahilikavaasuti
Hakuongelea habari ya kuanza kampeni mapema na kuvunja kanuni, maneno yake yalikuwa haya "ACT-Wazalenda waliamua kutafuta wadhamini kmyakimya ili kuepuka kuteleza"
 
Membe kaanza kampeni ya kumuengua Lissu mapema kwa hii kauli yake ya KINAFIKI, na tunamshukuru Mungu kwa kutuonyesha uchafu wa nia yake mapema!
NB: ZITTO KABWE JIHADHARI SANA NA HUYO JAMAA, 'TISS OPERATIVES NEVER RETIRE ALIVE!'
😅
👊 ✌✌✌💥
 
QUOTE]
Mkuu una akili kishenzi. Membe ni kama anamfitini Lissu lakini hawatafanikiwa. Kama kampeni hata Magu amefanya sana tena na kualika wasanii kabisa. Pale anachukua form pia alifanya kampeni tena na kuinadi ilani ya ccm. Alisema ilani ya mwaka huu ni kubwa kuliko hata ya 2015. So kama ni kukatwa yeye ndio akatwe.
Mwambie atembelee kwenye official page ya magufuli ya facebook aone jinsi anavyofanya kampeni. Wanatufanya watanzania wajinga sana hawa vilaza!!!
 
Nyie si mmesema mtamkata, haya mkateni. Unafikiri watanzania ni wajinga kiivyo eeeh????
Mkuu Lord sikia, ukiwa much know, wakati mwingine unaweza toa boko. Kuna uzi nliutuma humu, ukiwa wa mlengo huu.
 
Usiamishe Goli! Niambie kwa muktadha wa mada hii hapa, Lissu katoa boko wapi na kwenye nini???
 
Back
Top Bottom