Ntaghacha
JF-Expert Member
- Jul 28, 2020
- 1,412
- 4,122
TAL,out!Mataga yanajifariji, kwa taarifa tu hakatwi mtu na sheria tunazijua kuliko huyo Membe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TAL,out!Mataga yanajifariji, kwa taarifa tu hakatwi mtu na sheria tunazijua kuliko huyo Membe.
hmmm mimi sio mwanasiasa lakini naweza kufikiri hawa jamaa wanamuogopa sana Lissu.
Maana hawaishi vimbwanga kama watoto wa mama wa kambo!
Karne ya 21,nimefurahishwa na wagombea wa Jimbo la geita vijijini na sengerema mkoa wa mwanza. Tanzania nzima iige mfano huo kwenye kuchagua wabunge.Yani wewe unajua sheria kuliko waliotunga hizo sheria?
Vituko hivi
Karne ya 21,nimefurahishwa na wagombea wa Jimbo la geita vijijini na sengerema mkoa wa mwanza. Tanzania nzima iige mfano huo kwenye kuchagua wabunge.Yani wewe unajua sheria kuliko waliotunga hizo sheria?
Vituko hivi
Anawasaidia CCM kummaliza Lisu, huu upepo wa Lissu unamtesa Sana yaani.Huyu si mpinzani bali ana kazi maalumu ndani ya upinzani.
Kama waliozitunga wanazijua kuliko wengine,mbona hawaji mahakamani kuzifanyia hukumu,?kwa taarifa tu, Lissu kakosea kanuni,na ataenguliwa,Sheria zinasomewa ndugu.Yani wewe unajua sheria kuliko waliotunga hizo sheria?
Vituko hivi
Wasalaam wana jamvi!
Mgombea wa ACT Wazalendo jana alikwenda mahakama kuuu kula kiapo kwa judge ... alipoulizwa na waandishi kuhusu njia yake ya kutafuta wadhamini aliweka wazi kabisa yeye alikuwa mtulivu kusoma kanuni na sheria hivyo ndio maana alitumia njia ya kutafuta wadhamini kimya kimya ili asivunje kanuni alizo zisoma na kuzielewa!
Alisema wazi kabisa hakutaka kuingia kwenye mtego wa kuanza kampeni kabla ya muda maana muda ya kujinadi bado haujafika mpaka hapo watakapo vuka kiunzi cha kuteuliwa na tume!
Ni wazi kuna mtu hapa alikuwa ana kumbushwa na kutumiwa salamu!
Wape salaaam....
Mswahilikavaasuti
ACT unaijua vizuri angali mazao yake YULE mkuu wa mkoa kilimanjaro angalia kitila unganisha dotHuyu jamaa Act walimuamini vipi Hadi kumpa wadhifa wa kugombea nafasi nyeti hivyo.Mbona Ni pandikizi hili?
Jaribunk muone kama patatosha,narudia jaribuni!Tundu Lisu anakatwa na hakuna kitu wewe au yeye mtafanya, ...
Hamjui, anakaa porini huko atamjuaje. Huyu ndio yule ambaye wanaCCM walienda kwenye kibanda chake wakiomba kura maana wamenunua ndegeRobert Amsterdam unamfahamu?
Ni sheria sio Amsterdam wala Tume ya uchaguziKwa hiyo foreigner anaichagulia Tume ya Uchaguzi ya JMTZ iliyopo Kikatiba ni mgombea yupi impitishe na yupi isimpitishe? Bahati yako ni Mwanamke, na mimi naheshimu Wanawake sana vinginevyo ungeipata leo, ...
Robert Amsterdam anatisha zaidi, baada ya barua yake umeona vurugu tena?Muulize pia anamfahamu magufuli..huyu huwa haongei sana
Membe kashaanza kutuvuruga!Mgombea Urais wa chama cha ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema wao wamepata wadhamini katika mikoa kumi
Amesema ACT-Wazalenda waliamua kutafuta wadhamini kimyakimya ili kuepuka kuteleza
Majina wa wateule wa kugombea Urais yanatarajia kutolewa na Tume ya Uchaguzi, NEC Agosti 25, na kampeni zitaanza Agosti 26
Source ITV
Na wewe kamuulize Magufuli unamfahamu? aliyewapiga chini Acacia na MIGA yao.Robert Amsterdam unamfahamu?
Anakatwa na nani?Tundu Lisu anakatwa na hakuna kitu wewe au yeye mtafanya, ...
Kwani nyie mnaelewaga basi!
Mpaka mpigwe kidogo kwenye vichwa hivyo ndio mnaelewa.
Hivi unafikiri Membe na Magufuli hawakuwa na hela za kuzungukia mikoani kutafuta wadhamini?
Membe nae haishi kutapatapa,Mgombea Urais wa chama cha ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema wao wamepata wadhamini katika mikoa kumi
Amesema ACT-Wazalenda waliamua kutafuta wadhamini kimyakimya ili kuepuka kuteleza
Majina wa wateule wa kugombea Urais yanatarajia kutolewa na Tume ya Uchaguzi, NEC Agosti 25, na kampeni zitaanza Agosti 26
Source ITV