Uchaguzi 2020 Membe: Mimi nilitafuta wadhamini kimya kimya kukwepa mtego wa kuvunja kanuni na kuanza kampeni mapema

Uchaguzi 2020 Membe: Mimi nilitafuta wadhamini kimya kimya kukwepa mtego wa kuvunja kanuni na kuanza kampeni mapema

Ni wazi kuna mtu hapa alikuwa ana kumbushwa na kutumiwa salamu!
Hata mm nilimsikia halafu ghafla kibaridi cha wasiwasi juu ya mgombea ninayemkubali Sana kikanikumba.

Lakini bado najipa moyo. Maana najiuliza hivi Membe anajua sheria kuliko mgombea ninaye mkubali Sana mm?

Au Membe alitulia baada ya kupewa taarifa za kikachero kwamba Kuna dhuluma inapikwa na sabb itakuwa ni kusaka wadhamini kwa kelele?
 
Kwa hiyo Chadema waliotafua wadhamini hadharani wameteleza.?

Kwa hii kauli haoni kama anawasaidia CCM na Tume ya Uchaguzi kufanya fitina.

Upepo wa Lissu unamtesa Sana huyu Membe kuliko nguvu ya CCM.

CCM inapenda watu waoga waoga kama Membe ili ipate kuwaburuza.
Leo kachero mbobezi kawa muoga tena??
 
Wasalaam wana jamvi!

Mgombea wa ACT Wazalendo jana alikwenda mahakama kuuu kula kiapo kwa judge ... alipoulizwa na waandishi kuhusu njia yake ya kutafuta wadhamini aliweka wazi kabisa yeye alikuwa mtulivu kusoma kanuni na sheria hivyo ndio maana alitumia njia ya kutafuta wadhamini kimya kimya ili asivunje kanuni alizo zisoma na kuzielewa!

Alisema wazi kabisa hakutaka kuingia kwenye mtego wa kuanza kampeni kabla ya muda maana muda ya kujinadi bado haujafika mpaka hapo watakapo vuka kiunzi cha kuteuliwa na tume!

Ni wazi kuna mtu hapa alikuwa ana kumbushwa na kutumiwa salamu!

Wape salaaam....

Mswahilikavaasuti
Membe naye mjinganjinga alitakiwa kubaki ccm mpinzani gani mwoga analeta unafiki wa ccm na siasa za analog wapinzani wanafanya siasa za kidigital muda mrefu, Membe bodo yuko nyuma sana mawazo ya kiccm aachane na upinzani amefeli kabla ya kuanza
 
Back
Top Bottom