Kwahiyo linalosemwa la kweli?? Kwamba mh. NKB?Robert Amsterdam ametuma barua tu ccm na serikali yake wskaufyata. Mpk leo TAML haguswi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo linalosemwa la kweli?? Kwamba mh. NKB?Robert Amsterdam ametuma barua tu ccm na serikali yake wskaufyata. Mpk leo TAML haguswi.
Lissu kaisha wazidi akili hata ACT wakiungana na ccm Lissu atawashinda kwasababu Lissu anafanya sisasa za kidigital zinaendana wakati uliopo kaisha test mitambo iko sawa ccm na ACT bado wanamawazo ya miaka ya 60 wanapingana na wakatiQUOTE]
Mkuu una akili kishenzi. Membe ni kama anamfitini Lissu lakini hawatafanikiwa. Kama kampeni hata Magu amefanya sana tena na kualika wasanii kabisa. Pale anachukua form pia alifanya kampeni tena na kuinadi ilani ya ccm. Alisema ilani ya mwaka huu ni kubwa kuliko hata ya 2015. So kama ni kukatwa yeye ndio akatwe.
Jina lake lisiporudishwa,hapo ndipo mtakapoweza kutofautisha Kati ya Chama tawala na Chama Cha upinzani ni kipi.Tundu Lisu anakatwa na hakuna kitu wewe au yeye mtafanya, ...
Huyu si mpinzani bali ana kazi maalumu ndani ya upinzani.Kwa hiyo Chadema waliotafua wadhamini hadharani wameteleza.?
Kwa hii kauli haoni kama anawasaidia CCM na Tume ya Uchaguzi kufanya fitina.
Upepo wa Lissu unamtesa Sana huyu Membe kuliko nguvu ya CCM.
CCM inapenda watu waoga waoga kama Membe ili ipate kuwaburuza.
Mmeanza kuwehuka eeeh?Kwa hiyo Membe anataka kusemaje?
Kwamba kuna vyama vimeteleza kwa kutotafuta wadhamini "kimya kimya" kama wao?!
Kwenye majukwaa ya kampeni, pole pole,Bashiru na JPM watatumbuliwa Sana TL. Ili kuwasaidia wanatakiwa wamkodishe Nape ,ana mdomo wa kupambana na TL jukwaaniWasalaam wana jamvi!
Mgombea wa ACT Wazalendo jana alikwenda mahakama kuuu kula kiapo kwa judge ... alipoulizwa na waandishi kuhusu njia yake ya kutafuta wadhamini aliweka wazi kabisa yeye alikuwa mtulivu kusoma kanuni na sheria hivyo ndio maana alitumia njia ya kutafuta wadhamini kimya kimya ili asivunje kanuni alizo zisoma na kuzielewa!
Alisema wazi kabisa hakutaka kuingia kwenye mtego wa kuanza kampeni kabla ya muda maana muda ya kujinadi bado haujafika mpaka hapo watakapo vuka kiunzi cha kuteuliwa na tume!
Ni wazi kuna mtu hapa alikuwa ana kumbushwa na kutumiwa salamu!
Wape salaaam....
Mswahilikavaasuti
Jina lake lisiporudishwa,hapo ndipo mtakapoweza kutofautisha Kati ya Chama tawala na Chama Cha upinzani ni kipi.
AnaenguliwaAsipokatwa?
Huku kwetu Kanda ya ziwa mwanawake huwa hatuwatangulizi mbele hata kuwasalimia ni baadayeKweli eeh inaelekea una sana uchungu na Tundu lisu kuliko hata Mke wake wa ndoa na familia yake, lkn kwa uzoeafu wangu mimi Wanaume wengi likija kwenye swala la kuchagua upande huchagua familia zao, ona Lowasa mwishowe alichagua kumsikiliza Mke wake wa Ndoa na siyo wewe, ...
Na kugawa maburungutu ya pesa na ahadi kemkem kwa wananchi.Kuna watu washapiga kampeni mikoa sita
Huku kwetu Kanda ya ziwa mwanawake huwa hatuwatangulizi mbele hata kuwasalimia ni baadaye
Punguza jazba!Mmeanza kuwehuka eeeh?
Mwambieni Mbeligiji akasome tena sheria za tume na kanuni zake
Huyu anajua siasa si TL mihemko.Mgombea Urais wa chama cha ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema wao wamepata wadhamini katika mikoa kumi
Amesema ACT-Wazalenda waliamua kutafuta wadhamini kimyakimya ili kuepuka kuteleza
Majina wa wateule wa kugombea Urais yanatarajia kutolewa na Tume ya Uchaguzi, NEC Agosti 25, na kampeni zitaanza Agosti 26
Source ITV
Nakumbuka baada ya kuchukua form NEC alienda mbali zaidi nakutoa ahadi moja kabambe alisema atageuza Tanzania kama ulaya ndani ya miaka mitano ujue nilimshangaa sana Magu nikajiuliza maswali mengi kichwani bila majibu nikajipa moyo nikasema anyway inawezeka magu na umri huu hajui ulaya anajisemeaNa kugawa maburungutu ya pesa na ahadi kemkem kwa wananchi.
Magufuli ni muoga, Membe tuna mipango naye. Una lingine? Kikwete pamoja na kuruhusu uhuru hakuwahi kuogopa kama Magufuli! Hakuwahi kuitisha tamasha la wasanii 240! Huo ni udhaifu mkubwa kiuongozi.Kwani nyie mnaelewaga basi!
Mpaka mpigwe kidogo kwenye vichwa hivyo ndio mnaelewa.
Hivi unafikiri Membe na Magufuli hawakuwa na hela za kuzungukia mikoani kutafuta wadhamini?
Unatumia Ile Mfumo wa kujua kusoma na kuandika .Kweli eeh inaelekea una sana uchungu na Tundu lisu kuliko hata Mke wake wa ndoa na familia yake, lkn kwa uzoeafu wangu mimi Wanaume wengi likija kwenye swala la kuchagua upande huchagua familia zao, ona Lowasa mwishowe alichagua kumsikiliza Mke wake wa Ndoa na siyo wewe, hivyo jaribu kuwa mwangalifu kidogo kumuongela mtu ambaye humjui na wala hakujui kwamba atafanya hivi na vile hili likitokea, ...