Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Mwambie akupe iyo kanuni au sheria ya tume. Akikupa najitoa jfKwa nini akatwe?Ni vema tuwaachie wanachi waamue kupitia kura zao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie akupe iyo kanuni au sheria ya tume. Akikupa najitoa jfKwa nini akatwe?Ni vema tuwaachie wanachi waamue kupitia kura zao.
Mkuu TindoInawezekana kweli Lisu hajui sheria, lakini mahakama yet ambayo ndio taasisi vya kutafsiri sheria, ni kituko kingine kwenye dunia hii ya sheria.
Tatizo chadema mnakuwa kama mmelogwa, Membe na ACT waliusoma mchezo in advance ndio maana walitafuta wadhamini kimyakimya, Chadema tatizo Lenu ni too much know na mihemuko mnakosa watu wenye ueledi kuwasaidia
Shauri yenu ,ila ishatoka hiyo mlitegwa mkategeka
LISUU OUT
Lisu anatafuta mivutano na mamlaka ili asikike akilalamika anaonewa, wenzake kesi ilipoisha wakaenda kucheza kwenye mlango wa gereza kutafuta kesi nyingine.Lissu ni mkongwe wa sheria ni wazi hajakurupuka,anajua alifanyalo,wajichanganye kumuengua uchaguzi UTASIMAMA.
Nimeshindwa kumwelewa Membe mantiki yake ni ipi?
Ukisaka wadhamini kimya kimya huko sio kufanya kampeni lakini ukisaka wadhamini kwa shamrashamra huko ndio kufanya kampeni?
Sheria za NEC zilizotumika mwaka 2015 almost ni zile zile, na wagombea wote maarufu walisaka wadhamini karibu nchi nzima kwa shamrashamra nzito na hakuna mgombea aliyekatwa na tume ya uchaguzi. Huo woga wa kukatwa jina unatokea wapi?
Huwezi kuwa na tafsiri ya kusema kitendo fulani ni kampeni akiwa anayekifanya bado hajateuliwa kuwa mgombea na tume ya uchaguzi. Uteuzi wa wagombea na tume ya uchaguzi huanza kwanza halafu kampeni ndio zifuate. Kama bado tume ya uchaguzi haijateua wagombea, chochote kinachofanyika hapo ni siasa tu.
Mitazamo haifanani ndio maana wewe ni moja ya mataga na sisi hatuko kwenye hill kundiMikwara ya kitoto hiyo, hii tz mkuu, usidhani wote to mitazamo km yakwako.
Tutamchagua Rungwe tule ubwabwa😂😂Amefunikwa na Lissu, anaombea Akatwe abaki yeye
Hujajibu swali langu.Alichoongea ni unafiki, halafu Lisu alikuwa anafanya mikutano kutafuta wadhamini sio kupiga kampeni.
Yeye Zanzibar alienda akasema nitawatoa viongozi wa Uamusho gerezani hizi sio kampeni.
Membe mnafiki tu anasubiri huruma ya Magufuli kwenye teuzi.
Oooh kumbe hiyo sheria ni kwa ajiri ya wapinzani tu? Basi acha tusubiri tuoneLowasa si alikuwa mwanaccm aliegombea upande wa chadema?
Utaijua siku akikatwa kila kitu kitawekwa hadharani, bahati nzuri Lissu anajua ila alikuja kushtuka siku ile alipoongea na kudai kuna njama.Anaona aibu kuwaambia wenzake. Mlionywa mapema sasa mtalinywaEmbu tupe iyo sheria ya tume tuisome wewe mataga mkubwa
Hakuna rangi mtaacha ona mwaka huu. Jaribuni muoneUtaijua siku akikatwa kila kitu kitawekwa hadharani, bahati nzuri Lissu anajua ila alikuja kushtuka siku ile alipoongea na kudai kuna njama.Anaona aibu kuwaambia wenzake. Mlionywa mapema sasa mtalinywa
Ni rahisi sana kujidhirisha kuwa ni mpungufu kuliko mwenye weledi.Membe kaongea ukweli mtupu. Na siku zote ukweli unauma. Huyo Lissu ameanza kampeni mapema sana
Mgombea Urais wa Chama cha ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema wao wamepata wadhamini katika mikoa kumi
Amesema ACT-Wazalenda waliamua kutafuta wadhamini kimyakimya ili kuepuka kuteleza
Majina wa wateule wa kugombea Urais yanatarajia kutolewa na Tume ya Uchaguzi, NEC Agosti 25, na kampeni zitaanza Agosti 26
Chanzo: ITV
Membe kaenda ACT kumzuia Maalim sef asichukue dola Zanzibar, ni mpango mkakati wa ccm
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app