Uchaguzi 2020 Membe: Mimi nilitafuta wadhamini kimya kimya kukwepa mtego wa kuvunja kanuni na kuanza kampeni mapema

Uchaguzi 2020 Membe: Mimi nilitafuta wadhamini kimya kimya kukwepa mtego wa kuvunja kanuni na kuanza kampeni mapema

There are no permanent friends or enemies in politics; only permanent interest.
 
Membe kaongea ukweli mtupu. Na siku zote ukweli unauma. Huyo Lissu ameanza kampeni mapema sana
 
Kwa hiyo Chadema waliotafua wadhamini hadharani wameteleza.?

Kwa hii kauli haoni kama anawasaidia CCM na Tume ya Uchaguzi kufanya fitina.

Upepo wa Lissu unamtesa Sana huyu Membe kuliko nguvu ya CCM.

CCM inapenda watu waoga waoga kama Membe ili ipate kuwaburuza.

Halafu yeye Membe alivyoenda Zanzibar Yale maandamano na zile ahadi jukwaani alikuwa anafanya nini.

Inawezekana Membe ndio mchawi wa Lissu kuliko hata CCM wenyewe.
Alidhani atakuwa kama Lowassa!😀
 
Wasalaam wana jamvi!

Mgombea wa ACT Wazalendo jana alikwenda mahakama kuuu kula kiapo kwa judge ... alipoulizwa na waandishi kuhusu njia yake ya kutafuta wadhamini aliweka wazi kabisa yeye alikuwa mtulivu kusoma kanuni na sheria hivyo ndio maana alitumia njia ya kutafuta wadhamini kimya kimya ili asivunje kanuni alizo zisoma na kuzielewa!

Alisema wazi kabisa hakutaka kuingia kwenye mtego wa kuanza kampeni kabla ya muda maana muda ya kujinadi bado haujafika mpaka hapo watakapo vuka kiunzi cha kuteuliwa na tume!

Ni wazi kuna mtu hapa alikuwa ana kumbushwa na kutumiwa salamu!

Wape salaaam....

Mswahilikavaasuti
Yule CHIBA kajiingiza mzima mzima kwenye mtego. Upo wakati najiuliza kama Tundu Lissu anajua kweli Sheria au naye anawalio nyuma yake wanampa mwongozo kwamba wewe fanya wakikugusa tutakusaidi?
 
Kwa hiyo Chadema waliotafua wadhamini hadharani wameteleza.?

Kwa hii kauli haoni kama anawasaidia CCM na Tume ya Uchaguzi kufanya fitina.

Upepo wa Lissu unamtesa Sana huyu Membe kuliko nguvu ya CCM.

CCM inapenda watu waoga waoga kama Membe ili ipate kuwaburuza.

Halafu yeye Membe alivyoenda Zanzibar Yale maandamano na zile ahadi jukwaani alikuwa anafanya nini.

Inawezekana Membe ndio mchawi wa Lissu kuliko hata CCM wenyewe.
Ninyi hemkweni tu alafu jina lisiporudi mtatafuta pa kutokea.
 
Inakuwaje nchi yenye wananchi karibia 60m wapiga kura wawe 29m+? Ina maana nusu ya watanzania wako miaka 18 na kuendelea? Kama idadi ya wapiga kura ni ya uongo, matokeo watatamgazaje ya ukweli?
Rejea waliokuwa wamejandikisha 2015

NEC: Idadi ya Wapiga Kura bara ni 22,751,292 na Zanzibar ni 503,193
RUCCIOct 13, 2015

Kwa idadi hiyo ni Sawa na huwenda wengine hawakuandikisha majina yao
 
Membe kaongea ukweli mtupu. Na siku zote ukweli unauma. Huyo Lissu ameanza kampeni mapema sana
lissu ni makam mwenyekiti wa Chama nyie kuna nyingine tena inakuja mapadri na mashekh wamewaalika kwan atujui
 
Niliwaambieni kachero bado yupo kazini.... Hiki ni kirusi cha ccm🤔🤔
 
Sasa kama anataka kuleta ujinga sisi tufanyeje? Hapo kwa tafsiri yake ni kama anasema Lissu amekiuka sheria za uchaguzi ili akatwe!
Kwa hiyo mnaamini kauli za Membe zina influence maamuzi ya walichopanga NEC??
Naona kama mmeanza kupeleka energy pasipotakiwa.Mnatafuta mchawi....mchawi ni ninyi wenyewe na CCM.
 
Kwakili zenu mnadhani lisu hajui alifanyalo ki sheria??? kati ya lisu & membe nani mbombezi wa sheria ??
 
Lissu ni mkongwe wa sheria ni wazi hajakurupuka,anajua alifanyalo,wajichanganye kumuengua uchaguzi UTASIMAMA.
Kitu pekee kinachosubiriwa ni verification ya kinachomtia kiburi na namna ya kumalizana nacho.

Ni wazi Membe anajua jinsi system inavyofanya kazi na ndio maana akaja na hii tip ambayo ni "mind blowing"
 
Back
Top Bottom