Gogovivu45
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 229
- 133
Mawazo ya zito siyo kuiondoa ccm madarakani bali kumzuia lisu ili membe agombeee ili ACT-WAZALENDO ijilikane zaid katika siasa za tz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mr MEMBE
Wewe na wote hao wote uliowataja,mna undugu?Mataga mkiishiwa hoja mnakuwa kama mabox!Mke wa JPM, na kati ya wewe je, na Mke wa Tundu Lisu nani anamjua zaidi Tundu Lisu?
Mlisema hawezi kupona AMEPONA, Akipona hataweza kutembea ANATEMBEA, Hataweza kurudi AMERUDI, Mlisema akirudi atakamatwa HAJAKAMATWA, Mnasema atakatwa na NEC HATAKATWA, Mtasema hatashinda ATASHINDA, Akishinda hatatangazwa ATATANGAZWA, Akitangazwa hataapishwa AMEAPISHWA. Mtasemaje tena sasa.Tundu Lisu anakatwa na hakuna kitu wewe au yeye mtafanya, ...
Ccm hawahitaji msaada wa yeyote ili kufanya dhuluma.Acheni kulaumu watu wasio na madhara,jipangeni.Kwa hiyo Chadema waliotafua wadhamini hadharani wameteleza.?
Kwa hii kauli haoni kama anawasaidia CCM na Tume ya Uchaguzi kufanya fitina.
Upepo wa Lissu unamtesa Sana huyu Membe kuliko nguvu ya CCM.
CCM inapenda watu waoga waoga kama Membe ili ipate kuwaburuza.
Halafu yeye Membe alivyoenda Zanzibar Yale maandamano na zile ahadi jukwaani alikuwa anafanya nini.
Inawezekana Membe ndio mchawi wa Lissu kuliko hata CCM wenyewe.
Inashangaza Sana Membe badala ya kuelekeza mashambuzi CCM anaelekeza kwa Chadema ambao wapo kundi moja.Kula tano mwanangu, huyo Membe tumesema muda mrefu sio mpinzani naona Zito hajatuelewa. Membe anajua kabisa hauziki bara wala visiwani, na hata kule visiwani alitembelea nyota ya Seif, hivyo amejua akifanya hivyo huku bara atapimwa nguvu yake. Kwanza anapaswa kujua sasa hivi aliyekaza mikutano ya siasa kinyemela kasharuhusu, hivyo Lisu amepiga 2 in 1, mikutano ya kisiasa na kusaka wadhamini hapo hapo. Hizo lugha anazoongea ni za kujipendekeza kwa Magufuli,ili baada ya uchaguzi awe anaalikwa kwenye gafla za serikali. Nitashangaa sana kama Lisu atakatwa kisha wapinzani wampigie kura Membe.
Kwa hiyo mnapambana na Membe na sio CCM tena??Nayo atuondolee ujinga hapa, mbona Zanzibar walipokelewa kwa maandamano? Kiufupi hatoshei kwa Lissu hata kidogo, ampishe Lissu apeperushe bendera ya wapinzani!
Ulitaka atafute wadhamini kwa mkeo chumbani?Tundu Lisu anakatwa na hakuna kitu wewe au yeye mtafanya, ...
Wakati Membe anatoa mipasho ya niguse ninuke mlimuona shujaa, leo kusema hivyo ndo kaonekana muoga?Kwa hiyo Chadema waliotafua wadhamini hadharani wameteleza.?
Kwa hii kauli haoni kama anawasaidia CCM na Tume ya Uchaguzi kufanya fitina.
Upepo wa Lissu unamtesa Sana huyu Membe kuliko nguvu ya CCM.
CCM inapenda watu waoga waoga kama Membe ili ipate kuwaburuza.
Halafu yeye Membe alivyoenda Zanzibar Yale maandamano na zile ahadi jukwaani alikuwa anafanya nini.
Inawezekana Membe ndio mchawi wa Lissu kuliko hata CCM wenyewe.
Hana ushujaa wowote tulikuwa tunachochea kuni huko jikoni.[emoji23][emoji23][emoji23]Wakati Membe anatoa mipasho ya niguse ninuke mlimuona shujaa, leo kusema hivyo ndo kaonekana muoga?
idawa chungu kwa MembeKwa hiyo Chadema waliotafua wadhamini hadharani wameteleza.?