Membe: Musiba na Mchange anayewatuma kunichafua kwanini hamnipeleki mahakamani? Kama mnaweza kunirekodi mmeshindwa nini kutoa huo ushahidi

Mpelekeni mahakamani si kumchafua kila siku kwenye magazeti na mitandao ya kijamii. Majungu tu.

Musiba anasema ana watu milioni tatu nyuma yake ambao watachukua hatua dhidi ya aliowataja kwenye orodha yake kama Waziri wa Mambo ya ndani hatatii maagizo yake ya kuwachukulia hatua.

Sijui makosa ya aliowaoredhesha lakini kusema ana watu milioni tatu nyuma yake ambao wanaweza kuchukua hatua za kuwashughulikia watu anaowatuhumu kama serikali haitafanya hivyo, hiyo ni zaidi ya uanaharakati it is tantamount to treason. Watu milioni tatu si wachache kama wakitii amri ya mtu mmoja kinyume na mamlaka.
 
mbona serikali iliwapigisha kwata askari wetu kupambana na mikwara ya ukurasa wa insta wa Da Mange? tahadhari muhimu.

Rais wetu alikuwa mnyonge sana siku ile hadi akaimbiwa ‘hauwezi kushindana na mwanadamu mwenye kinywa’. na hadi leo hatujamsikia tena Rais wetu. yuko wapi?
 
Musiba anaona Khangi hastahili kile cheo yeye ndiyo anaestahili, anamchimba sana mzee wa watu.
 
Mkuu treason haiwezi kuwepo kwa kumshughulikia wahuni kama hao. Treason ni kwa Rais wa nchi tu.
 
Mbna waliwah kuandamanishwa nchi nzima au ulikuwa mtoto?
 
Umeteuliwa kuwa Mkuu wa wilaya
 
Embu ccm mpunguze mapigo ya ngoma, wapinzani huku mtaani wamesahau kunadi sera zao.

Wanacheza steps za milio ya ngoma kutoka mitaa ya Lumumba.

Tena wamejigawa kwenye makundi yao, kuna wapo wanaojiita team #Membe


Sayansi ya siasa, sayansi ya siasa.
 
Membe arudishe tu mabilion ya Watanzania aliyopora kutoka libya

Jamhuri ikiamua kumshitaki atafilisika


Pia sio vizuri kuwatumia vijana kubweka mtandaoni kuisema serkali

Tuendelee kumuunga mkono mh Rais Kwa uchapa kazi
Kasema; Mpelekeni mahakamani acheni umbeya wenyu. Wanaume wambeya umewaona wapi ka si lumumba FC?? Mpelekeni mahakamani, Amesema, Acheni kumsema sema fanyeni bidii mpelekeni mahakamani na vinasa sauti vyenu. Mahakama yetu siku hizi ipo kidijitali zaidi kwani wanapokea hata ujumbe wa msg au voice mail kama ushahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…