Tunataka tuanze na wewe kwanzaMpelekeni mahakamani si kumchafua kila siku kwenye magazeti na mitandao ya kijamii. Majungu tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunataka tuanze na wewe kwanzaMpelekeni mahakamani si kumchafua kila siku kwenye magazeti na mitandao ya kijamii. Majungu tu.
Ndiyo baada ya ujinga wenu kubuma!Ulinipeleka wewe?
Mpelekeni mahakamani si kumchafua kila siku kwenye magazeti na mitandao ya kijamii. Majungu tu.

mbona serikali iliwapigisha kwata askari wetu kupambana na mikwara ya ukurasa wa insta wa Da Mange? tahadhari muhimu.Sikubaliani na Membe.
Ilichokifanya serikali nadhani ndicho kilikuwa sahihi.
Kwamba, tetesi za kijuha na kipumbavu, ni vyema kuzipuuza kwa maneno lakini pia kuzijibu kwa vitendo ndani ya muda mzuri.
Rais kujitokeza na kuendelea kufanya kazi zake, lilikuwa ni jibu murua kabisa kwa majuha wote walioshiriki kutunga na kueneza uzushi wao.
Hivyo ndivyo inavyotakiwa.
Msemaji wa serikali akianza kujibu kila aina ya uzushi, kufanya hivyo ni kuubariki na kuuhalalisha uzushi huo. Serikali itafanya hivyo kwa mangapi? Maana uzushi na uongo ni sehemu kubwa sana ya hii mitandao ya kueneza na kujazana ujinga.
Safi sana serikali. Safari hii mmetenda vyema.
Membe arudishe tu mabilion ya Watanzania aliyopora kutoka libya
Jamhuri ikiamua kumshitaki atafilisika
Pia sio vizuri kuwatumia vijana kubweka mtandaoni kuisema serkali
Tuendelee kumuunga mkono mh Rais Kwa uchapa kazi
Musiba anaona Khangi hastahili kile cheo yeye ndiyo anaestahili, anamchimba sana mzee wa watu.Musiba anasema ana watu milioni tatu nyuma yake ambao watachukua hatua dhidi ya aliowataja kwenye orodha yake kama Waziri wa Mambo ya ndani hatatii maagizo yake ya kuwachukulia hatua.
Sijui makosa ya aliowaoredhesha lakini kusema ana watu milioni tatu nyuma yake ambao wanaweza kuchukua hatua za kuwashughulikia watu anaowatuhumu kama serikali haitafanya hivyo, hiyo ni zaidi ya uanaharakati it is tantamount to treason. Watu milioni tatu si wachache kama wakitii amri ya mtu mmoja kinyume na mamlaka.
Mkuu treason haiwezi kuwepo kwa kumshughulikia wahuni kama hao. Treason ni kwa Rais wa nchi tu.Musiba anasema ana watu milioni tatu nyuma yake ambao watachukua hatua dhidi ya aliowataja kwenye orodha yake kama Waziri wa Mambo ya ndani hatatii maagizo yake ya kuwachukulia hatua.
Sijui makosa ya aliowaoredhesha lakini kusema ana watu milioni tatu nyuma yake ambao wanaweza kuchukua hatua za kuwashughulikia watu anaowatuhumu kama serikali haitafanya hivyo, hiyo ni zaidi ya uanaharakati it is tantamount to treason. Watu milioni tatu si wachache kama wakitii amri ya mtu mmoja kinyume na mamlaka.
Ulinipeleka wewe?
ushawahi mbwa kashitakiwa mahakamani?Kwanini Mzee Membe asiwashitaki hao wanaochagua?
Atanipasha mimi huyo nurse?Mpashe huyo
Sikubaliani na Membe.
Ilichokifanya serikali nadhani ndicho kilikuwa sahihi.
Kwamba, tetesi za kijuha na kipumbavu, ni vyema kuzipuuza kwa maneno lakini pia kuzijibu kwa vitendo ndani ya muda mzuri.
Rais kujitokeza na kuendelea kufanya kazi zake, lilikuwa ni jibu murua kabisa kwa majuha wote walioshiriki kutunga na kueneza uzushi wao.
Hivyo ndivyo inavyotakiwa.
Msemaji wa serikali akianza kujibu kila aina ya uzushi, kufanya hivyo ni kuubariki na kuuhalalisha uzushi huo. Serikali itafanya hivyo kwa mangapi? Maana uzushi na uongo ni sehemu kubwa sana ya hii mitandao ya kueneza na kujazana ujinga.
Safi sana serikali. Safari hii mmetenda vyema.
Sikubaliani na Membe.
Ilichokifanya serikali nadhani ndicho kilikuwa sahihi.
Kwamba, tetesi za kijuha na kipumbavu, ni vyema kuzipuuza kwa maneno lakini pia kuzijibu kwa vitendo ndani ya muda mzuri.
Rais kujitokeza na kuendelea kufanya kazi zake, lilikuwa ni jibu murua kabisa kwa majuha wote walioshiriki kutunga na kueneza uzushi wao.
Hivyo ndivyo inavyotakiwa.
Msemaji wa serikali akianza kujibu kila aina ya uzushi, kufanya hivyo ni kuubariki na kuuhalalisha uzushi huo. Serikali itafanya hivyo kwa mangapi? Maana uzushi na uongo ni sehemu kubwa sana ya hii mitandao ya kueneza na kujazana ujinga.
Safi sana serikali. Safari hii mmetenda vyema.
Atanipasha mimi huyo nurse?
Kasema; Mpelekeni mahakamani acheni umbeya wenyu. Wanaume wambeya umewaona wapi ka si lumumba FC?? Mpelekeni mahakamani, Amesema, Acheni kumsema sema fanyeni bidii mpelekeni mahakamani na vinasa sauti vyenu. Mahakama yetu siku hizi ipo kidijitali zaidi kwani wanapokea hata ujumbe wa msg au voice mail kama ushahidiMembe arudishe tu mabilion ya Watanzania aliyopora kutoka libya
Jamhuri ikiamua kumshitaki atafilisika
Pia sio vizuri kuwatumia vijana kubweka mtandaoni kuisema serkali
Tuendelee kumuunga mkono mh Rais Kwa uchapa kazi
Vipi na wewe upo UK?Kama vidonge mmeshavinywa endeleen kuweweseka tu kashasema hawez msujudia binaadamu kama wale waliosmehewa dhambi