Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Waziri alimkanya Musiba, lakini Musiba ameendelea kuisemea serikali na hachukuliwi hatua, maaskofu waliiuliza serikali ikiwa haimzuii Musiba na wengi wanaamini serikali inamtuma, kwanini serikali isijitenge naye na asiruhusiwe kuisemea serikali, na imchukulie hatua.
Waziri alimuonya hadharani na alisema akirudia vyombo vya dola vita mshughulikia.
Tunaona tena kafanya yale yale, sasa tusemeje?! Uhakika upi ungekufaa wewe?!
Mashangazi wa Ruangwa noma sana, kumbe walikuwa wanamlia timing.mbona serikali iliwapigisha kwata askari wetu kupambana na mikwara ya ukurasa wa insta wa Da Mange? tahadhari muhimu.
Rais wetu alikuwa mnyonge sana siku ile hadi akaimbiwa ‘hauwezi kushindana na mwanadamu mwenye kinywa’. na hadi leo hatujamsikia tena Rais wetu. yuko wapi?
Sasa mkuu kama kweli au niuwongo Kwanini usikae kimya tu upate chai huko rondo au ndio maficho?Anaandika Bernard Membe.
Rondo- Lindi.
Watanzania Wenzangu! Nawasalimia! Kwa siku tatu mfululizo magazeti ya makuhani wa fitina na unafiki Musiba na Mchange na wenzao wamekuwa wakinishambulia kwa uchochezi wa sintofahamu iliyotokea kuanzia Alhamisi tarehe 17 Octoba siku ambayo Mhe Rais ameondoka Lindi kuelekea Dar hadi Jumapili ya tarehe 20. Mimi nipo Kijijini kwangu Rondo kwa mwezi mmoja sasa.
Ni nini hicho nilichokisema au kukiandika kwenye mitandao ya kijamii? Kwa kuwa mawasiliano yangu yote nayafanya kwa simu yangu ambayo inasikilizwa na kudukuliwa, naviomba vyombo vinavyohusika vitoe hadharani mazungumzo na maandishi yangu ili watu wasikie, wasome na wanihukumu. Napenda niuhakikishie umma kuwa Mimi sikuwa mjinga! Nilijua kuwa nikisema au kuandika vibaya, wabaya wangu wataninyooshea vidole.
Sikuingia kwenye mitego yao hiyo. Mimi kama Watanzania wote wenye akili za kawaida nilishangazwa sana na ukimya wa Serikali huku damage na rumours zikiwa zimetanda kote nchini bila kuzitolea maelezo kwa siku 3 mfululizo! Mhe. Rais ni kiongozi wa Umma. Inapotokea sintofahamu au upotoshaji wowote ule, ulikuwa ni wajibu wa Msemaji wa Ikulu au wa Serikali kukanusha na kuweka mambo sawa kama wanavyofanya siku zote.
Vinginevyo wale wenye akili za mbilikimo na makuhani wa unafiki wanachukua mwanya huo kutunga ya kwao ili kumfurahisha Mhe. Rais. Good governance requires quick response to rumours. Rumours left unattended damages governance! Narudia! Naviomba vyombo husika vitoe hadharani nilichokisema au kupost kwenye mitandao ili nihukumiwe na Wananchi wenyewe na sio na Wabwekaji wa Taifa.
Ben Membe.
Rondo- Lindi.View attachment 1241102View attachment 1241103
Membe haya anaytaka mwenyewe sio siri ,sijui anawashwa nini
Morphine zimekuunguaUlinipeleka wewe?
Morphine ndiyo kitu gani?Morphine zimekuungua
Baba ongeza sauti yule boya akusikie!Anaandika Bernard Membe.
Rondo- Lindi.
Watanzania Wenzangu! Nawasalimia! Kwa siku tatu mfululizo magazeti ya makuhani wa fitina na unafiki Musiba na Mchange na wenzao wamekuwa wakinishambulia kwa uchochezi wa sintofahamu iliyotokea kuanzia Alhamisi tarehe 17 Octoba siku ambayo Mhe Rais ameondoka Lindi kuelekea Dar hadi Jumapili ya tarehe 20. Mimi nipo Kijijini kwangu Rondo kwa mwezi mmoja sasa.
Ni nini hicho nilichokisema au kukiandika kwenye mitandao ya kijamii? Kwa kuwa mawasiliano yangu yote nayafanya kwa simu yangu ambayo inasikilizwa na kudukuliwa, naviomba vyombo vinavyohusika vitoe hadharani mazungumzo na maandishi yangu ili watu wasikie, wasome na wanihukumu. Napenda niuhakikishie umma kuwa Mimi sikuwa mjinga! Nilijua kuwa nikisema au kuandika vibaya, wabaya wangu wataninyooshea vidole.
Sikuingia kwenye mitego yao hiyo. Mimi kama Watanzania wote wenye akili za kawaida nilishangazwa sana na ukimya wa Serikali huku damage na rumours zikiwa zimetanda kote nchini bila kuzitolea maelezo kwa siku 3 mfululizo! Mhe. Rais ni kiongozi wa Umma. Inapotokea sintofahamu au upotoshaji wowote ule, ulikuwa ni wajibu wa Msemaji wa Ikulu au wa Serikali kukanusha na kuweka mambo sawa kama wanavyofanya siku zote.
Vinginevyo wale wenye akili za mbilikimo na makuhani wa unafiki wanachukua mwanya huo kutunga ya kwao ili kumfurahisha Mhe. Rais. Good governance requires quick response to rumours. Rumours left unattended damages governance! Narudia! Naviomba vyombo husika vitoe hadharani nilichokisema au kupost kwenye mitandao ili nihukumiwe na Wananchi wenyewe na sio na Wabwekaji wa Taifa.
Ben Membe.
Rondo- Lindi.View attachment 1241102View attachment 1241103
Na wewe ni mbwekaji (koko)Wabwekaji wa taifa?!!!.......... Huu ni msamiati mpya!
mbona serikali iliwapigisha kwata askari wetu kupambana na mikwara ya ukurasa wa insta wa Da Mange? tahadhari muhimu.
Rais wetu alikuwa mnyonge sana siku ile hadi akaimbiwa ‘hauwezi kushindana na mwanadamu mwenye kinywa’. na hadi leo hatujamsikia tena Rais wetu. yuko wapi?
Wameshindwa wenzio wangeshamfungulia ,yule ni born town akuja mjini mkubwa kwa gari za ng'ombe yuko mbele kifikra kuliko nyie mliokuja wakubwa mjini hawezi nasa mtegoniMembe arudishe tu mabilion ya Watanzania aliyopora kutoka libya
Jamhuri ikiamua kumshitaki atafilisika
Pia sio vizuri kuwatumia vijana kubweka mtandaoni kuisema serkali
Tuendelee kumuunga mkono mh Rais Kwa uchapa kazi
Binafsi sikubaliani nawe, serikali ina msemaji wake, rais kupitia ikulu wana msemaji.hivi serikali kutoa general statement kuhusu rais kuna tatizo gani? Kwani tetesi za kwenye mtandao si zinatolewa na RAIA pia? Kwa mtazamo wangu Msigwa hajawatendea haki watanzania Na hata rais mwenyewe aliyemteua.kwa mtazamo wangu alipaswa kuwajibishwa.
Bwashee umeshapanic!Na wewe ni mbwekaji (koko)
Haha ha haaaaa. Imebidi nicheke kwa kweli.Wabwekaji wa taifa?!!!.......... Huu ni msamiati mpya!
Wameshindwa wenzio wangeshamfungulia ,yule ni born town akuja mjini mkubwa kwa gari za ng'ombe yuko mbele kifikra kuliko nyie mliokuja wakubwa mjini hawezi nasa mtegoni
Membe anateseka sanaMessage sent!
Wanaomzushia Rais wana matopeHuyu Msiba ana shida ya akili,sijawahi kushudia mjita wa hivyo kama huyu jamaa,Leo umekuwa mpwani?.
Wajita hawako hivo,si watu wa kuzunguka.Yote kwa yote,kama wewe ni mwanamme mpeleke huyo Membe mahakamani ili ukweli uthibitike,siyo Kila siku Membe kafanya hili,hili na hili.
Mpeleke mahakamani udhihirishe uanamme wako,nusige otelera lwa linyabhutelele.