Membe: Nasubiri kwa hamu barua ya wito CCM. Hoja zitatolewa na hoja zitapanguliwa

JASUSI MBOBEZI.
 
Boss miss zomboko Naanza kuamini, Changa la macho .... aliyesema na waliosema CCM itatawala milele, sikubaliani na huu usemi, ila CCM itatawala muda mrefu, iwapo Upinzani hawataweza kung'amua hizi Code. Kweli CCM ni Baba Lao.



 
Huyu mzee anajihamini sana.ninapenda watu wasioteteleka kama membe. Ni hivyo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa zina mishangazo mingi sana...hata non-linear modelling techniques zinadunda kupata ama kutoa matokeo tarajiwa ama kadiriwa kwenye matukio ya kisiasa!! Stay tuned.
 
Nasikia Kolimba aliitwa pia. Baada ya hapo kilichomtokea wote tunakijua. Membe inatakiwa ufuate maadili ya Chama chako.
unasikia kwa nani? kipi kilimtokea tunachojua wote? hafuati yapi? tunachojua wote ni msamiati baada ya kuitikia huo wito - walimkolimba! muda si mrefu baadaye akaitwa Lyatonga. akaenda tayari akijua kilichompata Kolimba. akarudi mzima. kama ushushushu ulisaidia basi mara hii kaitwa nguli wa mchezo wenyewe. maskini Kolimba hakuwa hata kanali wala luteni!
 
kumbuka alikuwa nani huyo huko miaka ya nyuma na alikuwa na nafasi ipi na kwenye taasisi gani yaani mamba unamfundisha kuogelea
Alikua NANI inahusu nini MBNA maongezi yake yalinaswa jasusi hodari ni pinda tu uyo membe na kundi lake LA waswahili hamna kitndo ndo maana Wakati wa mufungo watu walienda uwani KILA SAA baada kuona chuma kinapenya
 
Alikua NANI inahusu nini MBNA maongezi yake yalinaswa jasusi hodari ni pinda tu uyo membe na kundi lake LA waswahili hamna kitndo ndo maana Wakati wa mufungo watu walienda uwani KILA SAA baada kuona chuma kinapenya
kwani alikuwa anazuia maongezi yake yasinaswe? na kama hao wapinzani wake hawana uoga why wamtumie msiba kubweka kijibwa koko si wangemchukulia hatua? membe alishasema kuwa sauti ni yake kuonyesha kuwa haogopi. Kelele za chura hazijawahi kumzuia mtekaji maji kuyateka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…