MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Labda serikali ya jimbo la Mtama!Membe yuko live anafanya mahojiano na redio Tehran mida hii na ameulizwa kuwa kuendelea kwake na harakati za kampeni haoni kama zinamuhujumu Lissu na upinzani kwa ujumla?
Membe amejibu kwa kuwa yeye anaongoza kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali anaona ingekuwa busara kwa upinzani kama wangeweka nguvu pamoja na kumsupport yeye, pia amedai anaufahamu vizuri uwezo wa Lissu kisheria na hivyo kumhakikishia kazi katika serikali yake mpya kadri ya katiba itakavyoruhusu.
Wakuu yapi maoni yenu?
Usiku wa leo nimeota kuwa hapa kwetu yatatokea Kama yale yaliyotokea DRC, yaani was halisi wanapambana na hatimaye kushinda uchaguzi, mazungumzo yanafanyika na hatimaye anatangazwa mpinzani dhaifu na anakabidhiwa nchi π©π©π©βΉοΈβΉοΈβΉοΈMembe yuko live anafanya mahojiano na redio Tehran mida hii na ameulizwa kuwa kuendelea kwake na harakati za kampeni haoni kama zinamuhujumu Lissu na upinzani kwa ujumla?
Membe amejibu kwa kuwa yeye anaongoza kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali anaona ingekuwa busara kwa upinzani kama wangeweka nguvu pamoja na kumsupport yeye, pia amedai anaufahamu vizuri uwezo wa Lissu kisheria na hivyo kumhakikishia kazi katika serikali yake mpya kadri ya katiba itakavyoruhusu.
Wakuu yapi maoni yenu?
Mwambie wale wa haya wake wameshindwa na wamelegea ,Maalimu kashaanda sherehe za kuapishwaMembe yuko live anafanya mahojiano na redio Tehran mida hii na ameulizwa kuwa kuendelea kwake na harakati za kampeni haoni kama zinamuhujumu Lissu na upinzani kwa ujumla?
Membe amejibu kwa kuwa yeye anaongoza kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali anaona ingekuwa busara kwa upinzani kama wangeweka nguvu pamoja na kumsupport yeye, pia amedai anaufahamu vizuri uwezo wa Lissu kisheria na hivyo kumhakikishia kazi katika serikali yake mpya kadri ya katiba itakavyoruhusu.
Wakuu yapi maoni yenu?
Hii ndio Dk 89 tunawapiga bao mawakala wa mabeberu! Lissu kwisha habari yake, Maalimu naye Kule Zenji Chali umoja wa wabunge tunampeleka mahakamani!Membe yuko live anafanya mahojiano na redio Tehran mida hii na ameulizwa kuwa kuendelea kwake na harakati za kampeni haoni kama zinamuhujumu Lissu na upinzani kwa ujumla?
Membe amejibu kwa kuwa yeye anaongoza kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali anaona ingekuwa busara kwa upinzani kama wangeweka nguvu pamoja na kumsupport yeye, pia amedai anaufahamu vizuri uwezo wa Lissu kisheria na hivyo kumhakikishia kazi katika serikali yake mpya kadri ya katiba itakavyoruhusu.
Wakuu yapi maoni yenu?
Wendawazimu nyie, mliyechukua kirusi na kukidhamini tume! Dk 89 ccm inaingiza sub matata!Ndoto ya mwendawazimu
Tumuombee baada ya kuwa stucked akili yake imesizi kabisa he need prayersMembe yuko live anafanya mahojiano na redio Tehran mida hii na ameulizwa kuwa kuendelea kwake na harakati za kampeni haoni kama zinamuhujumu Lissu na upinzani kwa ujumla?
Membe amejibu kwa kuwa yeye anaongoza kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali anaona ingekuwa busara kwa upinzani kama wangeweka nguvu pamoja na kumsupport yeye, pia amedai anaufahamu vizuri uwezo wa Lissu kisheria na hivyo kumhakikishia kazi katika serikali yake mpya kadri ya katiba itakavyoruhusu.
Wakuu yapi maoni yenu?
Nikisha Saini Na Kalamu Nyekundu Pale Taifa!ππππππ·
ππππ ππBado dakika ngapi ifike ya 89?
Membe analeta kichefuchefu. Bora akae kimya. Anazidi kudharaulikaMembe yuko live anafanya mahojiano na redio Tehran mida hii na ameulizwa kuwa kuendelea kwake na harakati za kampeni haoni kama zinamuhujumu Lissu na upinzani kwa ujumla?
Membe amejibu kwa kuwa yeye anaongoza kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali anaona ingekuwa busara kwa upinzani kama wangeweka nguvu pamoja na kumsupport yeye, pia amedai anaufahamu vizuri uwezo wa Lissu kisheria na hivyo kumhakikishia kazi katika serikali yake mpya kadri ya katiba itakavyoruhusu.
Wakuu yapi maoni yenu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji485]