Uchaguzi 2020 Membe: Naufahamu uwezo wa Lissu, nitahakikisha anapata kazi kwenye serikali yangu

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Membe yuko live anafanya mahojiano na redio Tehran mida hii na ameulizwa kuwa kuendelea kwake na harakati za kampeni haoni kama zinamuhujumu Lissu na upinzani kwa ujumla?

Membe amejibu kwa kuwa yeye anaongoza kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali anaona ingekuwa busara kwa upinzani kama wangeweka nguvu pamoja na kumsupport yeye, pia amedai anaufahamu vizuri uwezo wa Lissu kisheria na hivyo kumhakikishia kazi katika serikali yake mpya kadri ya katiba itakavyoruhusu.

Wakuu yapi maoni yenu?
 
Labda serikali ya jimbo la Mtama!
 
CHADEMA walimjua Membe mapema sana ndio maana walimkataa alipotaka kujiunga nao..

Serikali ya CCM siku zote imekuwa ikitumia mbinu zilezile kila Uchaguzi ufanyikapo..

Ndio maana mbinu zao za wizi wa KURA ni zilezile toka 1995 hadi Leo na iwapo wataweza kuforce this time kujitangazia ushindi na tukakubali basi hali ya Mtanzania itakuwa mbaya kuliko Ubaya wenyewe..
 
Membe yuko live anafanya mahojiano na redio Tehran mida hii na ameulizwa kuwa kuendelea kwake na harakati za kampeni haoni kama zinamuhujumu Lissu na upinzani kwa ujumla?

Membe amejibu kwa kuwa yeye anaongoza kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali anaona ingekuwa busara kwa upinzani kama wangeweka nguvu pamoja na kumsupport yeye, pia amedai anaufahamu vizuri uwezo wa Lissu kisheria na hivyo kumhakikishia kazi katika serikali yake mpya kadri ya katiba itakavyoruhusu.

Wakuu yapi maoni yenu?
Usiku wa leo nimeota kuwa hapa kwetu yatatokea Kama yale yaliyotokea DRC, yaani was halisi wanapambana na hatimaye kushinda uchaguzi, mazungumzo yanafanyika na hatimaye anatangazwa mpinzani dhaifu na anakabidhiwa nchi 😩😩😩☹️☹️☹️
 
Membe yuko live anafanya mahojiano na redio Tehran mida hii na ameulizwa kuwa kuendelea kwake na harakati za kampeni haoni kama zinamuhujumu Lissu na upinzani kwa ujumla?

Membe amejibu kwa kuwa yeye anaongoza kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali anaona ingekuwa busara kwa upinzani kama wangeweka nguvu pamoja na kumsupport yeye, pia amedai anaufahamu vizuri uwezo wa Lissu kisheria na hivyo kumhakikishia kazi katika serikali yake mpya kadri ya katiba itakavyoruhusu.

Wakuu yapi maoni yenu?
Mwambie wale wa haya wake wameshindwa na wamelegea ,Maalimu kashaanda sherehe za kuapishwa
 
Membe yuko live anafanya mahojiano na redio Tehran mida hii na ameulizwa kuwa kuendelea kwake na harakati za kampeni haoni kama zinamuhujumu Lissu na upinzani kwa ujumla?

Membe amejibu kwa kuwa yeye anaongoza kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali anaona ingekuwa busara kwa upinzani kama wangeweka nguvu pamoja na kumsupport yeye, pia amedai anaufahamu vizuri uwezo wa Lissu kisheria na hivyo kumhakikishia kazi katika serikali yake mpya kadri ya katiba itakavyoruhusu.

Wakuu yapi maoni yenu?
Hii ndio Dk 89 tunawapiga bao mawakala wa mabeberu! Lissu kwisha habari yake, Maalimu naye Kule Zenji Chali umoja wa wabunge tunampeleka mahakamani!
 
Membe yuko live anafanya mahojiano na redio Tehran mida hii na ameulizwa kuwa kuendelea kwake na harakati za kampeni haoni kama zinamuhujumu Lissu na upinzani kwa ujumla?

Membe amejibu kwa kuwa yeye anaongoza kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali anaona ingekuwa busara kwa upinzani kama wangeweka nguvu pamoja na kumsupport yeye, pia amedai anaufahamu vizuri uwezo wa Lissu kisheria na hivyo kumhakikishia kazi katika serikali yake mpya kadri ya katiba itakavyoruhusu.

Wakuu yapi maoni yenu?
Tumuombee baada ya kuwa stucked akili yake imesizi kabisa he need prayers
 
Huenda ana lake jambo maana ametuambia anafunga goli dakika ya 89...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dakika ya 89.5 Mshambuliaji wa ACT anacheza na Mpira kwenye mstari wa goli wa timu yake
 
Membe yuko live anafanya mahojiano na redio Tehran mida hii na ameulizwa kuwa kuendelea kwake na harakati za kampeni haoni kama zinamuhujumu Lissu na upinzani kwa ujumla?

Membe amejibu kwa kuwa yeye anaongoza kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali anaona ingekuwa busara kwa upinzani kama wangeweka nguvu pamoja na kumsupport yeye, pia amedai anaufahamu vizuri uwezo wa Lissu kisheria na hivyo kumhakikishia kazi katika serikali yake mpya kadri ya katiba itakavyoruhusu.

Wakuu yapi maoni yenu?
Membe analeta kichefuchefu. Bora akae kimya. Anazidi kudharaulika
 
Back
Top Bottom