Uchaguzi 2020 Membe: Naufahamu uwezo wa Lissu, nitahakikisha anapata kazi kwenye serikali yangu

Kuna kanuni rahisi sana ya kisiasa niliwahi kufundishwa na marehemu Professor Chachage kuhusu wanasiasa wa Tanzania, inasema hivi
"Ukiona mwanasiasa anafanya spinning politics au anajifanya yuko neutral kwenye mazingira ya siasa zenye kukinzana basi ujue unatumika na chama tawala, tena kwa malipo mazuri"

Hili linamuhusu pia Membe.
 
🤣🤣🤣 acha membe awavuruge hawa mbwa ili wakose direction kabisa, sisi hatuwezi kumpa nchi mtu mwenye Uraia wa ubelgiji na Marekani huko bhan 😂😂😂
Membe endelea kufanya yako bhan ili umrahisishie magufuli kazi, tena waambie wana ACT wakupigie kura nyingi sana kwa hizi dakika 5 za nyongeza baada ya 90 kuisha
Funga magoli hata kwa penalty.
 
Radio Tehran? Kweli mmepania kumchafua Membe.

Amandla...
 
mwaka huu tutaona mngiiiiii
wanagongana saiv
 
Watu Wazima tena ambao 'Kutwa' mkiwa hapa 'JF' mnajiita 'Great Thinkers' kupoteza muda wenu 'Kumjadili' Membe ni kuonyesha 'Utahaira' Wenu.
 
Hii ndio Dk 89 tunawapiga bao mawakala wa mabeberu! Lissu kwisha habari yake, Maalimu naye Kule Zenji Chali umoja wa wabunge tunampeleka mahakamani!

Ndio umejiunga aprili mwaka huu ili ikifika wakati wa kampeni uwe unaongea huu utoto?
 
Naona wengi hamjamwelewa Membe.
Membe kajitoa kiaina kumpisha Lissu,hafanyi kampeni,anazuga tu,ili kupoteza Tume.
Anachokifanya Ni mchezo wa kupoteza muda.
Hii ni Aina ya akili.
 
Haya maigizo yangekuwa yanachekeshwa tu, iwapo yangekuwa hayatumii Kodi zetu....., huyu jamaa analeta utani kwenye mambo serious....
 
Nae ni mgonbea,na pia no mgombea makini sana,hivyo sioni tatizo na zaidi amewaomba msiwe na haraka.Kwani mambo mazuri hayahitaji haraka.
 
Huyu jamaa ni comedian au kuna nati imelegea?[emoji23][emoji23]
Sio comedian alikuja upinzani kwa kazi maalum sasa lengo halijatimia na anatakiwa arudishe hesabu ndio kama unavyoona
 
Kama ni kweli amesema haya basi kuna uwezekano mkubwa ni case ya bipolar na atahitaji kuonana na wataalamu wa gonjwa la akili.
 
Zitto ndio wa kulaumiwa. Kwa nini walimkaribisha huyu Membe kwenye chama chao ?
Zitto alikuwa na ndoto kubwa za kukuza chama chake ili kuipunguza nguvu Chadema ndio maana akawa anaokotaokota tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…