mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,257
- 1,543
Ccm inavyojua kucheza na akili za wapinzani sasa!
Kwahiyo Membe akipitishwa ccm nyie chadema mtamuunga mkono au?
unatumia akili ya darasa la ngapi mkuu?
Maana hata viongozi wako wa CCM wanashangaa umejita akili hadi umefikia kwenye dhambi ata maandiko yanasema wema ukizidi sana dhambi kubwa mnoKwanini unauliza swali hilo
kuomba msamaha Membe hiyo kitu sahau kabisa.Aache Unafiki a.k.a Undumilakuwili wake. Na kwa za chini chini nilizozipata japo naendelea Kuzithibitisha mwaka huu huu nae ataomba Msamaha.
Maana hata viongozi wako wa CCM wanashangaa umejita akili hadi umefikia kwenye dhambi ata maandiko yanasema wema ukizidi sana dhambi kubwa mno
Labda watanzania wa huko kwenu
Tatizo ni wapinzani sio tume,tume ipo kikatiba na ipo miaka yote.na wapinzani wanashiriki chaguzi zote kupitia tume hii hii!! Kusema kuwa sio tume huru Ni kufilisika kisiasa, utasemaje sio tume huru na unashiriki?Tatizo ni wapinzani au tume ya uchaguzi?
Chadema muandalieni njiaSijajuwa matamko ya Membe yanamaanisha nini mpaka sasa
Basi hakuna haja ya kupoteza muda kubishana na kiazi mbatataTatizo ni wapinzani sio tume,tume ipo kikatiba na ipo miaka yote.na wapinzani wanashiriki chaguzi zote kupitia tume hii hii!! Kusema kuwa sio tume huru Ni kufilisika kisiasa, utasemaje sio tume huru na unashiriki?
Weka tweet yake hapaNa juzi katweet kuwa nkurunzinza alidumisha demokrasia Burundi.
Kweli hizi ni za chini, hazifai hata kuzisikia.Aache Unafiki a.k.a Undumilakuwili wake. Na kwa za chini chini nilizozipata japo naendelea Kuzithibitisha mwaka huu huu nae ataomba Msamaha.
Hii ingekua proved kama angeachwa ashiriki mchakato wa rais ndani ya chama kama katiba inavyosemaMembe anajua hawezi kupata hata kura milion moja mbele ya Jpm
Tunachotaka mtu mwingine hata akitoka ccm lakini si bwana yuleItakua kituko Mana Wana makala Zaid ya million za kumsifia membe Sasa ngoja membe apewe kipao mbele na CCM kugombea Urais tuone Kama chadema watasemaje Mana itakua aibu na ndio watakoma kufatilia Mambo ya watu
Usijali kilazaBasi hakuna haja ya kupoteza muda kubishana na kiazi mbatata
Magu hata asipopiga kampeni ushindi ni 98% Watanzania wanamkubali sana
Milioni moja?!?! Yaani hata 20,000 hawezi kupataMembe anajua hawezi kupata hata kura milion moja mbele ya Jpm
Asingejiwekea kinga ya kuvunja katiba
Hii ingekua proved kama angeachwa ashiriki mchakato wa rais ndani ya chama kama katiba inavyosema