Membe: Sijaandika barua ya kujiunga CHADEMA, naheshimu upinzani kwa kuikosoa upinzani ndio maendeleo

Itakua kituko Mana Wana makala Zaid ya million za kumsifia membe Sasa ngoja membe apewe kipao mbele na CCM kugombea Urais tuone Kama chadema watasemaje Mana itakua aibu na ndio watakoma kufatilia Mambo ya watu
Ccm inavyojua kucheza na akili za wapinzani sasa!

Kwahiyo Membe akipitishwa ccm nyie chadema mtamuunga mkono au?
 
Aache Unafiki a.k.a Undumilakuwili wake. Na kwa za chini chini nilizozipata japo naendelea Kuzithibitisha mwaka huu huu nae ataomba Msamaha.
kuomba msamaha Membe hiyo kitu sahau kabisa.

maelezo yako hayajitoshelezi kuhusu unafiki wa Membe. amekuwa muwazi juu ya anachokipigania na kukiamini as opposed to the likes of Nape, Kinana, Makamba, nk ambao ni dhahiri msamaha waliouomba hautoki mioyoni zaidi ya unafiki wa kulinda maslahi yao binafsi.
 
Tatizo ni wapinzani au tume ya uchaguzi?
Tatizo ni wapinzani sio tume,tume ipo kikatiba na ipo miaka yote.na wapinzani wanashiriki chaguzi zote kupitia tume hii hii!! Kusema kuwa sio tume huru Ni kufilisika kisiasa, utasemaje sio tume huru na unashiriki?
 
Basi hakuna haja ya kupoteza muda kubishana na kiazi mbatata
 
Aache Unafiki a.k.a Undumilakuwili wake. Na kwa za chini chini nilizozipata japo naendelea Kuzithibitisha mwaka huu huu nae ataomba Msamaha.
Kweli hizi ni za chini, hazifai hata kuzisikia.
Zinanuka ndiyo maaana zinafichwa
 
Itakua kituko Mana Wana makala Zaid ya million za kumsifia membe Sasa ngoja membe apewe kipao mbele na CCM kugombea Urais tuone Kama chadema watasemaje Mana itakua aibu na ndio watakoma kufatilia Mambo ya watu
Tunachotaka mtu mwingine hata akitoka ccm lakini si bwana yule
 
Huyu ni "jasusi mbobevu" akitumia taaluma yake tu, aliwazalo mjinga ndio litatokea.
 
Back
Top Bottom