Membe: Sijaandika barua ya kujiunga CHADEMA, naheshimu upinzani kwa kuikosoa upinzani ndio maendeleo

Watanzania wenzangu. Mimi sijaandika barua ya kuomba kujiunga na Chadema au chama kingine chochote lakini nitaendelea kuviheshimu vyama vya upinzani kwa sababu vinafanya kazi nzuri ya kuikosoa Serikali. Kukosoa ni kitendo cha maendeleo mpinduka na kamwe si kitendo cha uadui!- Bernard Membe.

Chanzo: HabariLeo Mtandao

Ukishaona tu Mwanasiasa haeleweki, Mjeuri, ana Kiburi Kingi, Mnafiki ( Ndumilakuwili ) jua ana Matatizo na hafai hata kuwa Rais wenu atawasaliti.
 
Pohamba!waliazimia kumfukuza membe bado hajafukuzwa !!hadi apewe barua rasmi!kitu ambacho kamati haijafanya na haitofanya!!
Mkuu natamani hii statement yako iwe ndo ukweli, naamini jiwe litageuka maji ghafla coz jamaa halali kisa Camiroooo!!!
 
Watanzania wenzangu. Mimi sijaandika barua ya kuomba kujiunga na Chadema au chama kingine chochote lakini nitaendelea kuviheshimu vyama vya upinzani kwa sababu vinafanya kazi nzuri ya kuikosoa Serikali. Kukosoa ni kitendo cha maendeleo mpinduka na kamwe si kitendo cha uadui!- Bernard Membe.

Chanzo: HabariLeo Mtandao

Ukishaona tu Mwanasiasa haeleweki, Mjeuri, ana Kiburi Kingi, Mnafiki ( Ndumilakuwili ) jua ana Matatizo na hafai hata kuwa Rais wenu atawasaliti.
sioni kosa la Membe.

ameamua kubaki ndani ya chama chetu kupigania haki yake. what's wrong with that?
 
Aache Unafiki a.k.a Undumilakuwili wake. Na kwa za chini chini nilizozipata japo naendelea Kuzithibitisha mwaka huu huu nae ataomba Msamaha.
 
Watanzania wenzangu. Mimi sijaandika barua ya kuomba kujiunga na Chadema au chama kingine chochote lakini nitaendelea kuviheshimu vyama vya upinzani kwa sababu vinafanya kazi nzuri ya kuikosoa Serikali. Kukosoa ni kitendo cha maendeleo mpinduka na kamwe si kitendo cha uadui!- Bernard Membe.

Chanzo: HabariLeo Mtandao

Ukishaona tu Mwanasiasa haeleweki, Mjeuri, ana Kiburi Kingi, Mnafiki ( Ndumilakuwili ) jua ana Matatizo na hafai hata kuwa Rais wenu atawasaliti.
Naona musiba unajitahidi sana leo na haka ka statement kako
 
Back
Top Bottom