Membe: Sijaumbwa kuwa Rais wala sina tamaa ya Urais, mimi sitaki nionekane kibwengo

Membe: Sijaumbwa kuwa Rais wala sina tamaa ya Urais, mimi sitaki nionekane kibwengo

Kwa Nini mlimfukuza sasa?
Kila kitu kitu kipo kiganjani mwako siku hizi! Nakushauri huu muda undaotumia kubishana hapa tumia hiyo simu yako kutafuta sababu ya Membe kufukuzwa CCM.
 
Kila kitu kitu kipo kiganjani mwako siku hizi! Nakushauri huu muda undaotumia kubishana hapa tumia hiyo simu yako kutafuta sababu ya Membe kufukuzwa ccm
Nimeshapata. Mlitumia ubabe ili mkijua kwamba akichuka form tu angemsbinda jpm
 
Sizitaki mbichi hizi! Ila huyu mzee sijawahi kumuelewa hata enzi akiwa waziri ...dizaini walewale wa “Kaa mimya sisi tunajua....
 
Kapata akili sasa ee?

Membe alikuwa anashabikiwa na kundi dogo sana tena mitandaoni tu.

Chaajabu na yeye akawa kama Lisu akalewa sifa kwamba anakubalika sana.

Unalinganisha kifo na usingizi, membe wa kufanyiwa comparison na Lissu, tuwe fair tu...huyu mzee sio level za TL! Kwa namna yoyote.....
 
Basi wewe haya mambo yako juu ya uwezo wako wa kufikiri
Jpm mwenyewe anajua kwamba msingemfukuza tu na angepenya kuchukua form Basi jpm asingekuwa na chake. Ndo Mana akainflurnce kufukuzwa kwake
 
Jpm mwenyewe anajua kwamba msingemfukuza tu na angepenya kuchukua form Basi jpm asingekuwa na chake. Ndo Mana akainflurnce kufukuzwa kwake
Unamaanisha na watu wengi ndani ya ccm? Sasa si wangempigania abaki ili achukue form?
Au hao watu si angeenda nao huko ACT?
 
Form si alichukua? Alafu kama alikuwa na hiyo nguvu si asingefukuzwa? Unamfukuzaje mtu mwenye nguvu?
Form hakuchukua na aliyemfukuza ni jpm mwenyewe bila kushirikisha wajumbe. Wajumbe wangeshirikishwa asingefukuzwa abadani
 
Unamaanisha na watu wengi ndani ya ccm? Sasa si wangempigania abaki ili achukue form?
Au hao watu si angeenda nao huko ACT?
Jpm ni dictator wewe. Ndo Mana kawakata hata akina chenge Mana kulikuwa na mkakati chenge kugombea uspika. Jpm kusikia vile akachinjilia mbali
 
Form hakuchukua na aliyemfukuza ni jpm mwenyewe bila kushirikisha wajumbe. Wajumbe wangeshirikishwa asingefukuzwa abadani
Hao wajumbe si wangempigania abaki? Au si wangeenda nae huko ACT?

Hizi kelele ndio zilimfanya zitto akurupuke, ila mwishoni wakaja kushtuka kuwa ni kelele za nyie wajinga wachache huku mitandaoni
 
Jpm ni dictator wewe. Ndo Mana kawakata hata akina chenge Mana kulikuwa na mkakati chenge kugombea uspika. Jpm kusikia vile akachinjilia mbali
Mkakati wa kugombea uspika? Alijuaje kama atashinda ubunge?
 
Jpm mwenyewe anajua kwamba msingemfukuza tu na angepenya kuchukua form Basi jpm asingekuwa na chake. Ndo Mana akainflurnce kufukuzwa kwake
Dogo nmekuuliza hiyo nguvu ya Membe ilienda wapi sasa baada ya Membe kwenda ACT? si alipewa nafasi ya kugombea urais kule? Kwanini hiyo nguvu aliyonayo isionekane akiwa kule ili kumkomesha jiwe?
 
Dogo nmekuuliza hiyo nguvu ya Membe ilienda wapi sasa baada ya Membe kwenda ACT? si alipewa nafasi ya kugombea urais kule? Kwanini hiyo nguvu aliyonayo isionekane akiwa kule ili kumkomesha jiwe?
Koma! Mi siyo dogo
 
Aliyekuwa Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema amejaribu kwa wakati kugombea Urais na sasa wakati hauko upande wake tena hivyo anawatia moyo vijana kugombea.

Membe amesema yeye hana tamaa na wala hajazaliwa ili awe Rais ndio maana anabakia kuwa mshauri. Ni fisi tu ndiye mwenye tamaa lakini hana mikakati ndio maana tamaa yake inamponzaga hivyo mikakati ikifika mwisho na bado ukawa una tamaa basi utaonekana ni kibwengo.

Membe amewataka vijana wanaotaka kugombea Urais waanze maandalizi mapema lakini wawe waangalifu sana wasije wakafukuzwa kama yeye.

Chanzo: Clouds TV

Maendeleo hayana vyama!
Hakuna anayezaliwa kuwa Rais ndo maana kuna Marais wazuri na hovyo kabisa kwa sababu,kama fisi, wote ni tamaa ndo inawatuma huko na wakipata wanageuka kupe hawataki kuachia ngazi kwa madai wameteuliwa na Mungu huyohuyo aliyeumba fisi. Binadamu wote wanazaliwa sawa wanageuka kuwa mafisi baadaye!
 
Kapata akili sasa ee?

Membe alikuwa anashabikiwa na kundi dogo sana tena mitandaoni tu.

Chaajabu na yeye akawa kama Lisu akalewa sifa kwamba anakubalika sana.

Kwenye kampeni utofauti wa Lisu, Magufuli na Membe ulikuwa wazi. Ni nani alivuta wananchi kwa mapenzi yao bila vitisho, ghiliba na umwagaji fedha.
 
A failure advisor.

Mshauriwa ndo anapaswa kuwa na akili ka za mbayuwayu vinginevyo nae atajibamiza ukutani. [emoji28][emoji28]

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Tutakapoacha kuona Ikulu ni kama sehemu nzuri ya kupiga soga, tutaanza kuwa na wagombea Urais wazuri na Bora kuliko kina Lissu, kina Membe na wengineo
Ahaaa ahaaa, acha nicheke tu, ingekuwa ikulu yetu ina heshima hiyo unayosema, ni marais wawili tu Nyerere na Mkapa tena hata Mkapa ni kwa mbali waliokuwa na hadhi ya ikulu.
 
Tutakapoacha kuona Ikulu ni kama sehemu nzuri ya kupiga soga, tutaanza kuwa na wagombea Urais wazuri na Bora kuliko kina Lissu, kina Membe na wengineo
Uganda eti Bobbi Wine anagombea urais,
Sijui hajui km anatakiwa kugombea urais wa chama cha wasanii sio nchi iliyokombolewa kwa damu.
Museveni anateleza tu kushinda hapo na akimaliza ampe mwanae muhoozi upinzani hauko serious.
 
Back
Top Bottom