Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Kila kitu kitu kipo kiganjani mwako siku hizi! Nakushauri huu muda undaotumia kubishana hapa tumia hiyo simu yako kutafuta sababu ya Membe kufukuzwa CCM.Kwa Nini mlimfukuza sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila kitu kitu kipo kiganjani mwako siku hizi! Nakushauri huu muda undaotumia kubishana hapa tumia hiyo simu yako kutafuta sababu ya Membe kufukuzwa CCM.Kwa Nini mlimfukuza sasa?
Basi wewe haya mambo yako juu ya uwezo wako wa kufikiriHakuna mchakato wowote! Wala Wala katiba ya ccm haisemi mtubatafukuzwa kwa kutangaza kugombea urais
Nimeshapata. Mlitumia ubabe ili mkijua kwamba akichuka form tu angemsbinda jpmKila kitu kitu kipo kiganjani mwako siku hizi! Nakushauri huu muda undaotumia kubishana hapa tumia hiyo simu yako kutafuta sababu ya Membe kufukuzwa ccm
Kapata akili sasa ee?
Membe alikuwa anashabikiwa na kundi dogo sana tena mitandaoni tu.
Chaajabu na yeye akawa kama Lisu akalewa sifa kwamba anakubalika sana.
Jpm mwenyewe anajua kwamba msingemfukuza tu na angepenya kuchukua form Basi jpm asingekuwa na chake. Ndo Mana akainflurnce kufukuzwa kwakeBasi wewe haya mambo yako juu ya uwezo wako wa kufikiri
Form si alichukua? Alafu kama alikuwa na hiyo nguvu si asingefukuzwa? Unamfukuzaje mtu mwenye nguvu?Nimeshapata. Mlitumia ubabe ili mkijua kwamba akichuka form tu angemsbinda jpm
Unamaanisha na watu wengi ndani ya ccm? Sasa si wangempigania abaki ili achukue form?Jpm mwenyewe anajua kwamba msingemfukuza tu na angepenya kuchukua form Basi jpm asingekuwa na chake. Ndo Mana akainflurnce kufukuzwa kwake
Form hakuchukua na aliyemfukuza ni jpm mwenyewe bila kushirikisha wajumbe. Wajumbe wangeshirikishwa asingefukuzwa abadaniForm si alichukua? Alafu kama alikuwa na hiyo nguvu si asingefukuzwa? Unamfukuzaje mtu mwenye nguvu?
Jpm ni dictator wewe. Ndo Mana kawakata hata akina chenge Mana kulikuwa na mkakati chenge kugombea uspika. Jpm kusikia vile akachinjilia mbaliUnamaanisha na watu wengi ndani ya ccm? Sasa si wangempigania abaki ili achukue form?
Au hao watu si angeenda nao huko ACT?
Hao wajumbe si wangempigania abaki? Au si wangeenda nae huko ACT?Form hakuchukua na aliyemfukuza ni jpm mwenyewe bila kushirikisha wajumbe. Wajumbe wangeshirikishwa asingefukuzwa abadani
Mkakati wa kugombea uspika? Alijuaje kama atashinda ubunge?Jpm ni dictator wewe. Ndo Mana kawakata hata akina chenge Mana kulikuwa na mkakati chenge kugombea uspika. Jpm kusikia vile akachinjilia mbali
Dogo nmekuuliza hiyo nguvu ya Membe ilienda wapi sasa baada ya Membe kwenda ACT? si alipewa nafasi ya kugombea urais kule? Kwanini hiyo nguvu aliyonayo isionekane akiwa kule ili kumkomesha jiwe?Jpm mwenyewe anajua kwamba msingemfukuza tu na angepenya kuchukua form Basi jpm asingekuwa na chake. Ndo Mana akainflurnce kufukuzwa kwake
Koma! Mi siyo dogoDogo nmekuuliza hiyo nguvu ya Membe ilienda wapi sasa baada ya Membe kwenda ACT? si alipewa nafasi ya kugombea urais kule? Kwanini hiyo nguvu aliyonayo isionekane akiwa kule ili kumkomesha jiwe?
Hakuna anayezaliwa kuwa Rais ndo maana kuna Marais wazuri na hovyo kabisa kwa sababu,kama fisi, wote ni tamaa ndo inawatuma huko na wakipata wanageuka kupe hawataki kuachia ngazi kwa madai wameteuliwa na Mungu huyohuyo aliyeumba fisi. Binadamu wote wanazaliwa sawa wanageuka kuwa mafisi baadaye!Aliyekuwa Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema amejaribu kwa wakati kugombea Urais na sasa wakati hauko upande wake tena hivyo anawatia moyo vijana kugombea.
Membe amesema yeye hana tamaa na wala hajazaliwa ili awe Rais ndio maana anabakia kuwa mshauri. Ni fisi tu ndiye mwenye tamaa lakini hana mikakati ndio maana tamaa yake inamponzaga hivyo mikakati ikifika mwisho na bado ukawa una tamaa basi utaonekana ni kibwengo.
Membe amewataka vijana wanaotaka kugombea Urais waanze maandalizi mapema lakini wawe waangalifu sana wasije wakafukuzwa kama yeye.
Chanzo: Clouds TV
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa..... Babati ni mwanamke usidandie treni kwa mbele!Labda kwa mke wako atakuwa nao
Kapata akili sasa ee?
Membe alikuwa anashabikiwa na kundi dogo sana tena mitandaoni tu.
Chaajabu na yeye akawa kama Lisu akalewa sifa kwamba anakubalika sana.
Ahaaa ahaaa, acha nicheke tu, ingekuwa ikulu yetu ina heshima hiyo unayosema, ni marais wawili tu Nyerere na Mkapa tena hata Mkapa ni kwa mbali waliokuwa na hadhi ya ikulu.Tutakapoacha kuona Ikulu ni kama sehemu nzuri ya kupiga soga, tutaanza kuwa na wagombea Urais wazuri na Bora kuliko kina Lissu, kina Membe na wengineo
Uganda eti Bobbi Wine anagombea urais,Tutakapoacha kuona Ikulu ni kama sehemu nzuri ya kupiga soga, tutaanza kuwa na wagombea Urais wazuri na Bora kuliko kina Lissu, kina Membe na wengineo