Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

Ukitaka kujua kama membe ni boya tu,,
Amefukuzwa ccm AWEZI kupata hata watu 10 wa kumuunga mkono alipo tupo kutoka ccm, kama alivyosubutu lowasaa
Au ZITO, MAALIM SEIF, LIPUMBA,

Leo hii lema akitoka Chadema anatoka yeye na mkewe tu kama membe pale ccm

Leo hii january makamba akitoka ccm anatoka yeye na mkewe tu

PALE Chadema manyika pamoja na ukatibu wake aliopewa akitoka pale Chadema anatoka yeye na mkewe tu.

Ila nakamwambia watu wenye mvuto
Magu akihama ccm anatoka na kijiji
Mbowe akihama Chadema anatoka na kijiji
Maalim seif akitoka tena ACT hata akienda ccm atakwenda na kijiji chake

Bashir Ally pamoja na ukatibu wake pale ccm akihama ccm anatoka yeye na mkewe

Kifupi membe pale ccm hana mvuto wowote wa kuishangaza ccm
Na hata akienda upinzani ndio itakuwa mwisho waje wa kujiuzuru siasa kama sylivester marsha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliweza tu kucheza na media
 
Aliweza tu kucheza na media
Basi lakini amekuwa waziri mambo ya nje ya nchi karibu miaka 8
Ana chochote cha maana alicho fanya zaid ya kashfa tu ya kula hela za marehemu
Na kuleta nchini miradi hewa ikiwemo mradi wa bandari ya Bagamoyo.. Jiwe ndio maana ataki hata kumsikia kwa sababu ya upigaji..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo mchuano wa ndani ya chama kubwa utakuwa kati ya nani na nani? au shibuda atachukua fomu tena, mtujuze tafadhali...
 
Ndio maana ukachero wake wanaomsifia nao sijawahi kuuona...
 
Ccm kwa sasa hakuna wa kuchuana na jiwe kama ilivyotokea pale Chadema
Hakuna wa kuchuana na mbowe
Anaetaka urais kupitia ccm asubiri mbaka 2025
hizi ni kelele tu za social media kupitia upinzani
Ccm wenyewe wapo na jiwe
Alafu ccm uchaguzi huu wanateleza tu Ganda la ndizi
Sisi wapinzani tuelekeze silaha zetu kwenye majimbo
Kule tunakwenda kupambana wenyewe kwa wenyewe ccm awana watu waadilifu katika majimbo
Ndio maana wanafanya usajili kama Yanga usajili wa chap chap
2020 katika majimbo
Kitila mkumbo
David kafulila
Jerry muro
Paul makonda
Patro katambi
Waitala
hawa wanaohamia ccm kwa sasa ndio tunakwenda kupambana nao katika majimbo mkae mkijua katika urais jiwe ana mpinzani ndani ya ccm na nje ya ccm..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maybe........ila atakwama maana hana mvuto sana kisiasa labda kwenye social media......2015 EL hata alivyoenda cdm mtaani alikuwa na watu wanaomkubali....ila huyu naona threads tu hapa JF na twitter.....ngoja tuone nn mwisho wake
Wewe ndie unatoa tathmini ya kisiasa ?, wapo wanaomuhitaji na watampigia kura sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…