Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Wameuza chama sababu ya bifu zao za kukomoana 2015 kila mmoja anaugulia.
Waliambiwa madhara ya kofia mbili waliweka pamba.Walikuwa na nafasi ya kuleta mageuzi wakiwa kwenye mfumo wakaweka pamba.
Mnapokuwa uwanjani muwe mnawasikiliza watazamaji wanasema nn wao wanaona kabla yenu leo mmewekewa replay recorded mmeyaona makosa yenu na huwezi rekebisha replay recorded.
Mlikuwa mkikenua meno kwa mbwemmbwe atawabatizeni kwa moto, mtaisoma namba kumbe amkujua vidole vingine vimewageukieni nyie.