Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

Wameuza chama sababu ya bifu zao za kukomoana 2015 kila mmoja anaugulia.

Waliambiwa madhara ya kofia mbili waliweka pamba.Walikuwa na nafasi ya kuleta mageuzi wakiwa kwenye mfumo wakaweka pamba.

Mnapokuwa uwanjani muwe mnawasikiliza watazamaji wanasema nn wao wanaona kabla yenu leo mmewekewa replay recorded mmeyaona makosa yenu na huwezi rekebisha replay recorded.

Mlikuwa mkikenua meno kwa mbwemmbwe atawabatizeni kwa moto, mtaisoma namba kumbe amkujua vidole vingine vimewageukieni nyie.
 
Not that extent
Simwoni kama membe anahiyo taaluma amekuwepo serikalini muda mrefu na hana cha ajabu a mshukuru tu Kikwete urafiki ndo umemfikisha alipo sijui ana ila ma tukio mawili yanayofanyika kumtsfsiri Kuna mkutano wa Sullivan pale Arushauri AICC AKIWA WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA WAKATI WA SAKATA LA MPAKANI ZIWA NYASA.....
 
Sasa itakuwaje? Atagombea kupitia chama kipi? ccm B inazaliwa karibuni kuna mtu atajikuta amebaki na bashite hapa gondwe kigwangalla jokate ummy na mazagazaga
Ndio Akili zenu Vibendera zinawatuma hivyo
Hongereni
 
Nayeye km anania yakugombra utais siaende chama chochote? Kwani mpaka ccm.
Hilo hajasema bado... ndo kwanza CCM wametoka kutoa maamuzi yake... na yeye hajasema kama kusema atagombea ndo kumepelekea kufukuzwa uanachama.. BADO ANA MUDA WA KUAMUA... KAMA ATAFUATA USHAURI WA PASKALI AU LA..
 
Mgombea binafs wa ini? Km anaamini anakubarika aende chama chochote km ccm wanampenda watampigia kura huko huko.
Kiswahili hatusemi "anakubarika", tunasema "anakubalika".

Sasa unataka aejde chama chochote, kama haoni chama anachokubaliana nacho itakuwaje?

Unaelewa kwamba mtu kujiunga na chama ni moaka ukubaliane na itikadi zake?

Unaelewa kwamba mtu anaweza kujiunga na vyama mia moja na vyote visimkubali kuwa mgombea?

Unaelewa kwamba haki ya kupiga kura na kupigiwa kura ni haki ya kikatiba ya Mtanzania?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom