Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Cha kujiuliza... kama CCM WANA UWEZO WA KUKATA JINA KAMA WALIVYOKATA LA LOWASA, NINI KINAWAPA HOFU?Ni kichaa anayeweza kulazimisha kugombea wakati CCM ndiyo inayokupitisha! CCM ikikataa atagombeaje?
John Shibuda/mlamba viatuUrais mtamu sana... Wakati wa Kikwete kuna yule Msukuma (Jina nimemsahau) aliyetishia kugombea... Alifanywa figisu mpaka akakimbia chama.
Na yeye kama ana nia yakugombrea Urais siaende chama chochote? Kwani mpaka CCM?Cha kujiuliza... kama CCM WANA UWEZO WA KUKATA JINA KAMA WALIVYOKATA LA LOWASA, NINI KINAWAPA HOFU?
Simwoni kama membe anahiyo taaluma amekuwepo serikalini muda mrefu na hana cha ajabu a mshukuru tu Kikwete urafiki ndo umemfikisha alipo sijui ana ila ma tukio mawili yanayofanyika kumtsfsiri Kuna mkutano wa Sullivan pale Arushauri AICC AKIWA WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA WAKATI WA SAKATA LA MPAKANI ZIWA NYASA.....Not that extent
JF na Twitter Vimemponza.
Huyu mzee hakuna anayemzungumzia kwenye mijadala huko mitaani. Hakuna.
Mgombea wa mitandaoni na safari imeishia mitandaoni.
Watu wabaya sana, wamemponza mzee wa watu.Yeye na washabiki wake wamejiaminisha kuwa eti anaogopwa.
Anaogopwa kwa lipi hasa?
Kujipa tu umuhimu ambao hana.
Watu wabaya sana, wamemponza mzee wa watu.
Angekuwa anaenjoi pensheni yake bila presha, sasa ana kazi kubwa ya kurejesha heshima yake. Watu waone hivi hivi tu.
Ndio Akili zenu Vibendera zinawatuma hivyoSasa itakuwaje? Atagombea kupitia chama kipi? ccm B inazaliwa karibuni kuna mtu atajikuta amebaki na bashite hapa gondwe kigwangalla jokate ummy na mazagazaga
Hilo hajasema bado... ndo kwanza CCM wametoka kutoa maamuzi yake... na yeye hajasema kama kusema atagombea ndo kumepelekea kufukuzwa uanachama.. BADO ANA MUDA WA KUAMUA... KAMA ATAFUATA USHAURI WA PASKALI AU LA..Nayeye km anania yakugombra utais siaende chama chochote? Kwani mpaka ccm.
Leo hiyoo..!!!JF na Twitter Vimemponza.
Huyu mzee hakuna anayemzungumzia kwenye mijadala huko mitaani. Hakuna.
Mgombea wa mitandaoni na safari imeishia mitandaoni.
Ndio utajus haujui sasaMembe hajui chochote
Mtu muhimu CCM ni Bashite tu!Yeye na washabiki wake wamejiaminisha kuwa eti anaogopwa.
Anaogopwa kwa lipi hasa?
Kujipa tu umuhimu ambao hana.
Mgombea binafs wa ini? Km anaamini anakubarika aende chama chochote km ccm wanampenda watampigia kura huko huko.Hapa ndipo utajua kwa nini CCM hawataki mgombea binafsi.
Anaufahamu utaratibu vizuri tu. Ila Aliamua kufanya aliyoyafanya, na wenyewe hawakuwa na ajizi kumkumbusha Utaratibu.Halafu kama ana hamu sana ya kugombea urais si aende tu huko kwingine akagombee.
Huko jina lake hawatolikata.
Why did they sack him off if he isn't a threat?Yeye na washabiki wake wamejiaminisha kuwa eti anaogopwa.
Anaogopwa kwa lipi hasa?
Kujipa tu umuhimu ambao hana.
Yale yale ya Mbowe na Zitto ...[emoji3][emoji3]Jibu tumeshalipata!
Kiswahili hatusemi "anakubarika", tunasema "anakubalika".Mgombea binafs wa ini? Km anaamini anakubarika aende chama chochote km ccm wanampenda watampigia kura huko huko.