Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

Kifupi membe nikama Toilet paper kwa jpm! Vyama vya upinzani waimarishe vyama vyao upya! Hayupo wakumshinda jpm, hamna sera vyama vya upinzani saivi.
 
Yale yale ya Mbowe na Zitto ...[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Zitto alikuwa anatumika kuisambaratisha Chadema na ndiyo maana lile kundi lake lote na wenyewe wamemsaliti wapo CCM.

Yani Zitto aliwekwa mtu kati akiamini ana wafuasi kumbe na wenyewe ni mamluki part B. Huyu Membe anataka kuokoa hali ya nchi na wapo watu serious nyuma yake.
 
Yeye na washabiki wake wamejiaminisha kuwa eti anaogopwa.

Anaogopwa kwa lipi hasa?

Kujipa tu umuhimu ambao hana.
Sasa mbona wamemkata?

CCM wamejenga taswira kama wanamuogopa kwa kumkata uanachama, hata kama hawamuogopi.

Akisema kwamba nimefukuzwa uanachama kwa sababu hawataki nim challenge Magufuli, that is a plausible narrative.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini kama siyo JESHI LA POLISI KUTUMIWA KAMA JUMUIYA YA CCM, ww ukichuana na MJOMBA kupitia chama chochote kile,unamgaragaza kwa aibu asubuhi sana
Na hii ndiyo sababu kuu itakayozuia uwepo wa uchaguzi ulio huru na wa haki mwaka huu.

Masanjaone,
hapo juu, hivi sera za CCM kwa sasa ni zipi?

Kama "Membe ni kama toilet paper kwa JPM", kwa nini 'toilet tissue' iwatie kiwewe kiasi hiki mlichonacho sasa?

Kama hakuna wa kumshinda JPM, acheni kutumia polisi kuwanyanyasa wanasiasa. Waacheni wafanye kazi zao kama mnavyofanya nyinyi.

Najua hapa napoteza mda kukuandikia haya mtu kama wewe unayeitwa 'Masanjaone.'
 
Kiranga,
Haha mzee wa kiswahilk. Hii aejde ndo kiswahili gani bosi. Nahii Moaka ni nini mtaaram wa kiswahili. Nakama kugombea nihaki ya kikatiba kwani haki ya kikatiba iko ccm peke yake? Mwambie aende chama cha zoa zoa nadhani umekifaham.

Membe hata yy anajua hana mvuto ndo maana anateseka.
 
Unajua kusoma kwa ufahamu?

Kwa mwandiko huu napata tabu kukujibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu tulishajua, hivi vyama Ni magenge ya watu Na vilishaporwa kutoka kwa umma.ukishindana Na wakubwa tu unafukuzwa.Aliyemfukuza membe Ni jpm wala sio ccm.hayo mengine Ni uwongo.kosa lake kuu Ni kutaka kutumia haki yake kugombea urais.zingine Ni mbwembwe za kina polepole...
 
Aachane na nia hiyo, ajipumzikie atakosa hata hela za mafuta au kwenda choo maana itakuwa Man-to-Man. Keshakutwa na mabulungutu ya Manji St Gasper Dodoma 2015 wakamsamehe (alikingiwa kifua)
akapata skendo mihela ya Gadaffi.

keshatamka mara nyingi nia hiyo kabla ya muda kwa CCM ni kosa. sasa anaingilia mfumo wa mwenye kigoda kumaliza miaka 10.

akifanya mchezo hata waandishi hatawaona au kuwahutubia km Mbunge wa Mtama aliyemuachia kelbu aliyopewa na vijana wa Mkuu wa mkoa.

LIMBOMAMBOMA,
 
Sasa itakuwaje? Atagombea kupitia chama kipi? ccm B inazaliwa karibuni kuna mtu atajikuta amebaki na bashite hapa gondwe kigwangalla jokate ummy na mazagazaga
Anagombea kupitia CCM A hii ngoma bado mbichi jumatatu anatinga mahakamani kupigania uanachama wake huyu dikiteta uchwara asidhani kamaliza kazi gemu ndo kwanza dakika ya tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…