Masanjaone
JF-Expert Member
- Nov 15, 2019
- 844
- 597
Kifupi membe nikama Toilet paper kwa jpm! Vyama vya upinzani waimarishe vyama vyao upya! Hayupo wakumshinda jpm, hamna sera vyama vya upinzani saivi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zitto alikuwa anatumika kuisambaratisha Chadema na ndiyo maana lile kundi lake lote na wenyewe wamemsaliti wapo CCM.
Anaufahamu utaratibu vizuri tu. Ila Aliamua kufanya aliyoyafanya, na wenyewe hawakuwa na ajizi kumkumbusha Utaratibu.
Sasa mbona wamemkata?Yeye na washabiki wake wamejiaminisha kuwa eti anaogopwa.
Anaogopwa kwa lipi hasa?
Kujipa tu umuhimu ambao hana.
Tunamtakia kila la heri katika kugombea Urais Twitter.Ataishia kuwa mgombea urais wa Twitter 🤣
Na hii ndiyo sababu kuu itakayozuia uwepo wa uchaguzi ulio huru na wa haki mwaka huu.Naamini kama siyo JESHI LA POLISI KUTUMIWA KAMA JUMUIYA YA CCM, ww ukichuana na MJOMBA kupitia chama chochote kile,unamgaragaza kwa aibu asubuhi sana
Urais mtamu sana... Wakati wa Kikwete kuna yule Msukuma (Jina nimemsahau) aliyetishia kugombea... Alifanywa figisu mpaka akakimbia chama.
John ShibudaUrais mtamu sana... Wakati wa Kikwete kuna yule Msukuma (Jina nimemsahau) aliyetishia kugombea... Alifanywa figisu mpaka akakimbia chama.
Unajua kusoma kwa ufahamu?Haha mzee wa kiswahilk. Hii aejde ndo kiswahili gani bosi. Nahii Moaka ni nini mtaaram wa kiswahili. Nakama kugombea nihaki ya kikatiba kwani haki ya kikatiba iko ccm peke yake? Mwambie aende chama cha zoa zoa nadhani umekifaham.
Membe hata yy anajua hana mvuto ndo maana anateseka.
Yeye alitaka kutumia haki yake kama mwanachama. Aliyepaswa kushindana naye kamfukuza uwanachama.Halafu kama ana hamu sana ya kugombea urais si aende tu huko kwingine akagombee.
Huko jina lake hawatolikata.
Yule msukuma ni shibudaUrais mtamu sana... Wakati wa Kikwete kuna yule Msukuma (Jina nimemsahau) aliyetishia kugombea... Alifanywa figisu mpaka akakimbia chama.
Sasa kwann wamfute uanachamaHiyo hofu mnayoiona ipo vichwani mwenu tu.
Ccm ilishatekwa Siku nyingi, hakuna alilofanya Membe.Anaufahamu utaratibu vizuri tu. Ila Aliamua kufanya aliyoyafanya, na wenyewe hawakuwa na ajizi kumkumbusha utaratibu.
Anagombea kupitia CCM A hii ngoma bado mbichi jumatatu anatinga mahakamani kupigania uanachama wake huyu dikiteta uchwara asidhani kamaliza kazi gemu ndo kwanza dakika ya tatu.Sasa itakuwaje? Atagombea kupitia chama kipi? ccm B inazaliwa karibuni kuna mtu atajikuta amebaki na bashite hapa gondwe kigwangalla jokate ummy na mazagazaga
Chadema msifanye makosa kama mwaka 2015,ccm hawaaminiki tena
Mbona amefukuzwa kama haogopwiYeye na washabiki wake wamejiaminisha kuwa eti anaogopwa.
Anaogopwa kwa lipi hasa?
Kujipa tu umuhimu ambao hana.