Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

Watz bana,"wanaaminishwa eti nguli wa UKACHERO mstaafu anaweza kwenda nje ya mstari" na wanaamini, Tz ina vihoja.

Mkuu fikra zako kama upo akilini mwangu....ijapokuwa wachache wataelewa na kuamini unachokiandika
 
Watu wabaya sana, wamemponza mzee wa watu.

Angekuwa anaenjoi pensheni yake bila presha, sasa ana kazi kubwa ya kurejesha heshima yake. Watu waone hivi hivi tu.
Ujinga wa mtu mweusi unawaza ubinafsi tu. Issue sio kuinjoy bali kuwa mwenye tija kwa taifa.
 
Kwani miaka yote utamaduni wa CCM umekuwa ni upi?
Ndio maana mnawatimua wanachama hovyo.utamaduni ndio mdudu gani? Kama suala ni utamaduni msiitishe mkutano wa kuteua mgombea wa uraisi.
 
February 29, 2020

Membe aweka wazi sababu ya kutimuliwa na kufukuzwa uanachama CCM ni nia yake kugombea urais 2020 kwa tiketi ya CCM


Source : MCL Digital
 
Ni kichaa anayeweza kulazimisha kugombea wakati CCM ndiyo inayokupitisha! CCM ikikataa atagombeaje?

Mwenyekiti na genge lake ndio ccm? Amesema fika kuwa angechukua fomu ili agombee lakini mwenyekiti na rais wa sasa hana sifa za kushindana. Tabia hiyo iko wazi hata kwenye uchaguzi wa nchi nzima, ambapo mwenyekiti wa ccm anatumia madaraka yake ya urais kuchezea box la kura.
 
ya kupitia chama kingine but not ccm..[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bill,
Wakati huo hali ilikuwa shwari kulikuwa hamna haja ya mwengine kuchukua fomu. Lakini sasa hivi Jiwe kaporomosha uchumi ni yeye peke yake na genge lake wana enjoy keki ya taifa kwa mantiki iyo hafai kabisa kuendelea kuwa rais muhula mwengine bora watanzania wote tuambukiwe corona kuliko Jiwe kuendelea muhula mwengine ni zaidi ya coronavirus.

Magonjwa Mtambuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…