Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,763
- 3,955
Kuna Nini ndani ya ile nyumba?
Nawaza tu [emoji848][emoji848]
Nawaza tu [emoji848][emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujasoma kilichoandikwa?
Tatizo lako unajifanyaga eti upo neutral ili uwakonge nyoyo au uwaboe pande zote, sasa ktk kufanya hivyo unajikutaga umetoa pumba za hatari bila kujua jitahidi kusimamia unachokiamini unakuwa kama vile kuna mtu kakushikilizia akili zako.
Anagombea kupitia ccm A hii ngoma bado mbichi jumatatu anatinga mahakamani kupigania uanachama wake huyu dikiteta uchwara asidhani kamaliza kazi gemu ndo kwanza dakika ya tatu
Nyumbu acheni kujiliwaza. Mnadanganywa na vitu ambavyo hutakiwi hata kutumia akili kung'amua ni uongo! Nyumbu CCM haitandolewa na wachovu kama ninyi. Nyumbu jitafakarini kwa nini upinzani unazidi kufa.
Kwani fomu za kuomba uteuzi zipo CCM pekee.
Huyy mnafiki tu hana lolote. 2010 kipindi Kikwete anaenda awamu ya pili huyuhuyu ndio alikuwa mstari wa mbele kushawishi watia nia hasa kambi ya Lowassa wasichukue fomu. ikuwa akimtumia Rostam kuomba Kikwete asipingwe. Leo kaona nini analazimisha kugombea kinyume na utamaduni wa chama chake? Akafia mbele, alitaka akatwe ndio ajiondoe CCM, sasa wamemsaidia kumwondoa hana issue tena na hana wa kumfuata hata akaijiynga na chama chochote. Good timing anayway
Mimi nakupinga,Kama anataka kuhamia chadema, apokelewe tu. Huyu ni mtanzania siyo mkongo.Chadema msifanye makosa kama mwaka 2015,ccm hawaaminiki tena
Kwani vyama vingine havipo?Ni kichaa anayeweza kulazimisha kugombea wakati CCM ndiyo inayokupitisha! CCM ikikataa atagombeaje?
Unataka wamzungumzeje,afu mbona mnamtetemeka Sana!!JF na Twitter Vimemponza.
Huyu mzee hakuna anayemzungumzia kwenye mijadala huko mitaani. Hakuna.
Mgombea wa mitandaoni na safari imeishia mitandaoni.
Binafsi naumia kama mtanzania yeyote akinyimwa haki kwenye chama chochote kile.we huumii umezoea dhuluma.Kumbe unaipenda na kuijali sana CCM eeh?
Naona umeumia sana Membe kufukuzwa 🤣
Ndiyo ivo sasa anaendaNayeye kama ana nia yakugombrea Urais siaende chama chochote? Kwani mpaka CCM?
Hahaha!kawakamata KUNAKO nyetiYeye na washabiki wake wamejiaminisha kuwa eti anaogopwa.
Anaogopwa kwa lipi hasa?
Kujipa tu umuhimu ambao hana.
Wewe na kuish kote marekani Bado unafikra mgando kiasi hiko membe ana haki ya kugombea urais lakin anaonekana Hana nidhamu anyway muafrika elimu Bado haijamkomboaUkifukizwa ndo unaogopwa?
Ushawahi kufukuzwa kazi wewe?
Huyo jamaa ana upeo mdogo sanaMgombea yupo kivipi wakati party caucas itakaa kumteua mgombea kati ya mwezi julai na September mwaka huu?
Baadae wanarudi walikotokaMimi nakupinga,Kama anataka kuhamia chadema, apokelewe tu. Huyu ni mtanzania siyo mkongo.
Sent using Jamii Forums mobile app