Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

Kama hamumuogopi kwanini msipe nafasi ya kugombea uraisi?

Watu kama Membe haiwezekani tena kuonekana wanafaa kuwa raisi wa Tanzania mpya inayotakiwa.

Lazima uelewe kwemba wazee wa mikakati ya "Tunatekeleza" ndio hutoa picha rasmi ya wapi nchi inaelekea.

Hii inasaidia kuondoa makosa ya kihistoria.
 
Mgombea tayari yupo. Hakuna chama chenye wagombea wawili wa nafasi moja.

Aende CUF huko akawe mgombea wao.
Mgombea yupo kivipi wakati party caucas itakaa kumteua mgombea kati ya mwezi julai na September mwaka huu?
 
Hahaha

Hakuipasua Lowassa aje aipasue huyu Myao

Kwanza alidhan nyuma yake kuna Wakwere,alikuwa hatujui vizuri, ukiambiwa nyuma yako tupo wakwere jua upo peke yako

Ngoyai aliambiwa andika barua ya kujiuzulu, tutaikataa, akaandika ikala kwake

Mzee Sitta akaambiwa Simamia show ya kumtoa Ngoyai tutakulinda, alipomaliza assignment akaambiwa sasa umefika muda wa kuwa na Spika Mwanamke


Eti akifukuzwa CCM itapasuka, wapi! Sasa ndo ataelewa kwamba hana watu nyuma yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tundu lisu alishawaambia wataanza na sisi kisha watahamia kwenu maneno yake sasa yanaanza kutimia rais yeyote akianza kwa kuondoa demokrasia atafwata mkondo huohuo mpaka ahakikishe kila mtu anaingiwa hofu na mwisho wasiku nchi yote inajaa hofu . Ni swala tu la mda ML itamhusu.
 
Hiyo inajulikana iko wazi hivyo, ila kwa wale mashabiki hawawezi elewa hilo

Fair point.

Hatahivyo mtu hakataziwi kuwa na ndoto kila binadamu ana ndoto yake kwamba huenda akaitimiliza siku moja.

Lakini ukweli unabaki palepale kwamba mazingira yanayoendelea kutengenezwa ya Tanzania mpya, hayaruhusu watu wa aina ya Bernard Membe kujaribu kutimiza ndoto zao za kuwa raiai.
 
Kumbe unaipenda na kuijali sana CCM eeh?

Naona umeumia sana Membe kufukuzwa 🤣
Tatizo lako unajifanyaga eti upo neutral ili uwakonge nyoyo au uwaboe pande zote, sasa ktk kufanya hivyo unajikutaga umetoa pumba za hatari bila kujua jitahidi kusimamia unachokiamini unakuwa kama vile kuna mtu kakushikilizia akili zako.
 
Back
Top Bottom