Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Kama hamumuogopi kwanini msipe nafasi ya kugombea uraisi?
Watu kama Membe haiwezekani tena kuonekana wanafaa kuwa raisi wa Tanzania mpya inayotakiwa.
Lazima uelewe kwemba wazee wa mikakati ya "Tunatekeleza" ndio hutoa picha rasmi ya wapi nchi inaelekea.
Hii inasaidia kuondoa makosa ya kihistoria.