Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

Hujasoma kilichoandikwa?

Hivi nikuulize mkuu wewe na genge la Bernard Membe (maana wote mnaonyesha kumtetea) kwani hii ni mara ya ngapi Bernard Membe anakutwa na hatia ya kukiuka maadili akiwa mwanachama wa CCM?
 
Tatizo lako unajifanyaga eti upo neutral ili uwakonge nyoyo au uwaboe pande zote, sasa ktk kufanya hivyo unajikutaga umetoa pumba za hatari bila kujua jitahidi kusimamia unachokiamini unakuwa kama vile kuna mtu kakushikilizia akili zako.

Hayo ni maoni yako tu.

Na uzuri wake ni kwamba maoni yako sio uhalisia wangu.

Ahsante kwa kunifuatilia. Mimi ndo kwanza nakuona leo humu...🤣
 
Ukiongea ujinga huu ukiwa karibu na jiwe atakuchapa makofi! maana anaogopa mpaka bendera za chadema wee mfuata upepo unakuja kuharisha hapa
Nyumbu acheni kujiliwaza. Mnadanganywa na vitu ambavyo hutakiwi hata kutumia akili kung'amua ni uongo! Nyumbu CCM haitandolewa na wachovu kama ninyi. Nyumbu jitafakarini kwa nini upinzani unazidi kufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ccm wote ni wale wale usipoteze muda wako kuwaamini anakuja kulialia huku mtaani kwasababu wenzie wamemwaga anaweza kupokelewa na upinzani miaka ijayo anakwambia anarudi nyumbani! asee hao jamaa ni shida
Kwani fomu za kuomba uteuzi zipo CCM pekee.

Huyy mnafiki tu hana lolote. 2010 kipindi Kikwete anaenda awamu ya pili huyuhuyu ndio alikuwa mstari wa mbele kushawishi watia nia hasa kambi ya Lowassa wasichukue fomu. ikuwa akimtumia Rostam kuomba Kikwete asipingwe. Leo kaona nini analazimisha kugombea kinyume na utamaduni wa chama chake? Akafia mbele, alitaka akatwe ndio ajiondoe CCM, sasa wamemsaidia kumwondoa hana issue tena na hana wa kumfuata hata akaijiynga na chama chochote. Good timing anayway

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Harafu kuna tushetani tudogo tudogo tutathema "thithiem kuna Demokrasia". Chama kimebaki kwenye tuvitabu

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Chadema msifanye makosa kama mwaka 2015,ccm hawaaminiki tena
 
Back
Top Bottom