Tunaongelea kugombea uraisMimi nakupinga,Kama anataka kuhamia chadema, apokelewe tu. Huyu ni Mtanzania siyo Mkongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaogopwa kwa sababu Mwenyekit wako tangu aingie madarakani hajwahi kumsema hadhrani kama hao wengine km lugola,nape nk.hajwahi hata kumrushia vjembe kwenye hotuba zke zote toka awe rais mpka leo lakini hapo hapo huwa anamponda kikwete laivu sa unasemaje kuwa haogopwi??PATHETICYeye na washabiki wake wamejiaminisha kuwa eti anaogopwa.
Anaogopwa kwa lipi hasa?
Kujipa tu umuhimu ambao hana.
Mwaka huu kukatwa huenda ingekuwa Ngumu,maana wagombea wangekuwa wawili tu hivyo ingebidi wote wapigiwe,Sasa hapo pa kura ndio mtihaniNi kichaa anayeweza kulazimisha kugombea wakati CCM ndiyo inayokupitisha! CCM ikikataa atagombeaje?
Ayo ni maamuzi yake binafsi
Halafu kama ana hamu sana ya kugombea urais si aende tu huko kwingine akagombee.
Huko jina lake hawatolikata.
Wanaccm hawachiani maji ya kunywa mezani - Kikwete
Siyo mwanachama!
Naomba nikutoe shaka,,,,CCM ni imara kuliko unavyofikiria.Sasa itakuwaje? Atagombea kupitia chama kipi? ccm B inazaliwa karibuni kuna mtu atajikuta amebaki na bashite hapa gondwe kigwangalla jokate ummy na mazagazaga
Ccm hatari sijui polepole walimtoa wapi, hayuko kwenye kundi la vijana wala wazee. Kuna kipindi anaonekana kazee. Hapohapo kama mculana, yaani namuona wa ainayake. Sasa hicho cheo walichompa, ndo ccm kwisheni, kinachosaidia ni kuwa na dola vinginevyo kingekuwa kama chama cha vikobaWatu tulishajua, hivi vyama Ni magenge ya watu Na vilishaporwa kutoka kwa umma.ukishindana Na wakubwa tu unafukuzwa.Aliyemfukuza membe Ni jpm wala sio ccm.hayo mengine Ni uwongo.kosa lake kuu Ni kutaka kutumia haki yake kugombea urais.zingine Ni mbwembwe za kina polepole...
Lazima uelewa mbinu za kumkabili Adui ni kuwa karibu naye Lowasa ilibidi waende naye hadi dkk za mwisho ndio wamkate.Cha kujiuliza... kama CCM WANA UWEZO WA KUKATA JINA KAMA WALIVYOKATA LA LOWASA, NINI KINAWAPA HOFU?