Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

Why did they sack him off if he isn't a threat?
Tanzania is the Republic of fools

Sent using Jamii Forums mobile app
What was your comment when Lowasa did the same during Kikwete 1 time and after Kikwete 2, and also in The Saccos when Zitto wanted the position of the chairman ? And also when Sumaye wanted it ??? Were u also sedated ???
 
Watu wanependa kuonyesha kwsmba South africa ndio kitovu cha demokrasia, bila kujiuliza kwanini Cyril Ramaphosa aliachana na ANC na uraisi wa SA mpaka wengine walivyo haribu? Kwanini Julius Makemo alitotaka ANC?
 
Maamuzi yaliyotolewa ndiyo yaliyomfanya Mangula augue ghafla, alipata mini stroke. Maamuzi yale hakuyaelewa, alishtuka sana. naukitaka kuamini angalia ile video ambayo katembelewa na rais Magufuli hospitali. Utamuona Mzee Mangula anaogopa hata kumuangalia rais Magufuli Machoni, anamuangalia kwa kuiba yani jicho la pembeni.

Ile inaonyesha hata yeye anamuogopa sana rais Magufuli. Waliposema aombewe alifumba macho haraka haraka akaanza kuomba, na uoga ule ndio uliompa hiyo stroke ndogo akaanguka, siku nyingine atakufa wamtoe huko kamati kuu.
 
Ile inaonyesha hata yeye anamuogopa sana rais Magufuli. Waliposema aombewe alifumba macho haraka haraka akaanza kuomba, na uoga ule ndio uliompa hiyo stroke ndogo akaanguka, siku nyingine atakufa wamtoe huko kamati kuu. [emoji44][emoji848][emoji44][emoji848][emoji44][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124]

Jr[emoji769]
 
Ukiiangalia ile video, unaweza fanya assessment nzuri ya ninachokisema hapa.
 
Hilo hajasema bado... ndo kwanza CCM wametoka kutoa maamuzi yake... na yeye hajasema kama kusema atagombea ndo kumepelekea kufukuzwa uanachama.. BADO ANA MUDA WA KUAMUA... KAMA ATAFUATA USHAURI WA PASKALI AU LA..
Kishasema ndoto zake zipo palepale! Na alikuwa nania yakugombea, sasa km kafukuzwa aende kule wanakoendaga. Zoa Zoa
 
Membe wamemkata mapema Kwa sababu Hana nguvu yoyte na Hana hatar yoyote, wanasema don't show your enemy how strength you are , alivyo boya anasema Nina watu CCM , serikalini na usalama huo si ni ufala ni aheri hata kinana
 
This man has been the truest individual ever...
 
Duniani humu,unaweza kujiona wewe mzuri sana kwa sababu ya kuzungukwa na wapambe waongo na wanafiki.

Membe kuna watu wanamdanganya kabisa kuwa wananchi wanamuhitaji.Na hao anaosema ni watu wake ccm ajue ni wanafiki sana.Sasa hivi wataanza kumnanga. Anasahau watu walivyoimba tuna imani na Lowasa?Tena Lowasa alikuwa na wapenzi wengi hata nje ya CCM?

Kweli inawezekana kinahitajika kichaa fulani ili mtu aje afanikiwe.Hiki kichaa Membe anacho kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Membe hanukii wala hanuki. Yaani yupo yupo tu . Hivi si alishakatwa mkia anagombeaje hana mkia?
 
Back
Top Bottom