Maamuzi yaliyotolewa ndiyo yaliyomfanya Mangula augue ghafla, alipata mini stroke. Maamuzi yale hakuyaelewa, alishtuka sana. naukitaka kuamini angalia ile video ambayo katembelewa na rais Magufuli hospitali. Utamuona Mzee Mangula anaogopa hata kumuangalia rais Magufuli Machoni, anamuangalia kwa kuiba yani jicho la pembeni.
Ile inaonyesha hata yeye anamuogopa sana rais Magufuli. Waliposema aombewe alifumba macho haraka haraka akaanza kuomba, na uoga ule ndio uliompa hiyo stroke ndogo akaanguka, siku nyingine atakufa wamtoe huko kamati kuu.