Naunadhani ni sawaMkia hauna ubavu wa kumtikisa Ng'ombe
Hata Nyerere analijua hilo, Azimio la Arusha tulianza kufungia vitumbua Nyerere akiwa hai na hakuna alichofanya zaid ya Makelele tu!
Kidumu chama cha Mapinduzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndipo utajua kwa nini CCM hawataki mgombea binafsi.
Hivi kweli Membe anaamini alikuwa tishio kwa JPM ndani ya CCM?
He can’t be serious.
Tulia mtoto mdg ww.Membe kamwe hawezi kuwa Rais wa nchi hii,mchezo walomfanyia Lowassa na yeye kafanyiwa. Yeye kakatwa jina kwa kufukuzwa kwenye chama. Magufuli ndo CCM kwa sasa.
Very true kingine Membe ndo alikuwa anangoza group na Mzee makamba kwamba Lowassa anataka kuombea na JK awamu ya pili leo na yeye anataka kufanya kilekileMembe kamwe hawezi kuwa Rais wa nchi hii,mchezo walomfanyia Lowassa na yeye kafanyiwa. Yeye kakatwa jina kwa kufukuzwa kwenye chama. Magufuli ndo CCM kwa sasa.
Suala ninaloongelea si kutosha au kutotosha.Hivi ndugu yangu umeshawi kupanda jukwaa hata moja huko vijijini na kujaribu kama sauti yako inatoka au mikwara tu ya cyberspace 🙂
Kama vyama vikubwa like CUF na CHADEMA vinapwaya unafikiri mgombea binafsi atatosha kwa local context ya siasa za Bongo?
Sent using Jamii Forums mobile app
BWM kwa sasa hayupo nyuma ya Magu. Magu ndo boss wa CCM. Jeshi la mtu mmoja. Kwanza JK ndo alikosea kubadili katiba ya CCM na wenyeviti wastaafu wakawa hawaingii tena kwenye Kamati kuu. Asingebadili huenda leo Membe asingefukuzwa chama.Maana JK,Mkapa,Mwinyi wangehudhuria kikao.Na nyuma ya JPM kuna BWM ambaye ndiyo aliinusuru CCM 2015 upinzani ulipoungana
Soon watamsahau.Media zinampa huyu mtu airtime asiyostahili.
Narudia tena CCM haimuhitaji Membe bali Membe anaihitaji CCM,bila CCM membe ni sawa na nyangumi aliyekwama pwani ya Kilwa baada ya kushtuka maji yamerudi kina kirefu na hatima yake ni kujiozea tu mchangani. Wenzake akina Makamba,Kinana wameopolewa, hata mpiga debe wake Kaflag katulizwa kama mpira uliotolewa upepo.Mwamba wa pande za Kusi, mwanadiplomasia nguli Bernard Membe ameunguruma baada ya kutoswa na CC ya CCM.
Ngoma bado mbichi kabisa hii.
Kwa undani zaidi, jipatie nakala yako ya "The Citizen" hapo kesho Jumamosi 29 February.
View attachment 1372047,
Haha mlisema Membe hawezi kufukuzwa na baada ya kufukuzwa mumeanza uchawi mwingine eti BWM hayupo nyuma ya Magu, unachosema ni sawa na kusema hayati Mwalimu Nyerere hakuwa nyuma ya BWM, Magu atakuwa mtiifu kwa BWM hadi mwisho, yeye ndie aliyemuonyesha njia ni Godfather wake!BWM kwa sasa hayupo nyuma ya Magu. Magu ndo boss wa CCM. Jeshi la mtu mmoja. Kwanza JK ndo alikosea kubadili katiba ya CCM na wenyeviti wastaafu wakawa hawaingii tena kwenye Kamati kuu. Asingebadili huenda leo Membe asingefukuzwa chama.Maana JK,Mkapa,Mwinyi wangehudhuria kikao.
Kama tatizo ni uraisi sasa ruksa kwake kugombea uraisi si ajabu hata kura ya mkewe akaikosa.Chazo Gazeti la Mwananchi, Februari 29, 2020.
View attachment 1372062
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh Membe kaingia choo cha jinsi nyingine na kukutana uso kwa uso na mkwe wake akitimiza haja ya kimwili, fedheha gani hiyo, du!!!Mwamba wa pande za Kusi, mwanadiplomasia nguli Bernard Membe ameunguruma baada ya kutoswa na CC ya CCM.
Ngoma bado mbichi kabisa hii.
Kwa undani zaidi, jipatie nakala yako ya "The Citizen" hapo kesho Jumamosi 29 February.
View attachment 1372047,
Mpaka sasa hana sifa kugombea urais 2020 kwa sababu sheria mpya za uchaguzi zinataka uwe mwanachama angalau miaka miwili kupitia chama unachotaka kiwakilishaAtajijua. Akagombee kupitia ACT.Kina Zitto watampokea kwa mikono miwili. Kama alishindwa kuwa Rais 2015 kipindi kaka yake anaachia ngazi,basi kamwe hawezi kuwa Rais wa nchi hii Tanzania.
Ndiyo.Hivi kweli Membe anaamini alikuwa tishio kwa JPM ndani ya CCM?
He can’t be serious.