Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

Hiyo ndiyo sababu pekee.

Watafute wote waliomsumbua 2015 akigombea, wale front runners wote kawafukuza kwa kashfa.

Prof.Mwandosya, Prof.Muhongo, Mwigulu, January, na sasa Membe. Sijui atafuata nani lakini wote waliokuwa top 10 na top five kagalagaza katupa.

Hahahaha Eti yeye ndiye msafi, wakati kashfa zake hataki ziguswe, Meli kawapa wanajeshi, Nyumba za serikali hataki kusikia.
 

Itakuwa ni kwa bahati mbaya sana kama huyu uliyemjibu hapo, na wengine wengi kwenye jukwaa kama hili uzito wa jibu ulilotoa hapa hawawezi wakauona kama ulivyo!

Hili sio jibu la kukurupuka hata kidogo. Ni jibu lililopimwa na kwenda kiusahihi kabisa kulingana na hoja ya aliyejibiwa.
 
Membe tuliza akili kwanza,Mungu yu pamoja nawe.Usikurupuke kufanya maamuzi ukaja kuaibika kama kina Nywele nyeupe na MR ZERO!Wewe ni mkomavu,na jasiri.Naamini utapata muda wa kutueleza bayana mengi maovu yaliyoko ndani ya hiyi migwanda ya kijani na njano.Lengo lao wakudhoofishe Kisiasa.Naamini kama siyo JESHI LA POLISI KUTUMIWA KAMA JUMUIYA YA CCM, ww ukichuana na MJOMBA kupitia chama chochote kile,unamgaragaza kwa aibu asubuhi sana.Sheria kandamizi zinazowekwa na kupitishwa na Wabunge wengi wa CCM ndo zinazidi kutuchelewesha kutoka kwenye ukandamizwaji mkubwa tunaopitia.KAZA BUTI,SONGA MBELE, IPO SIKU HAKI ITASHINDA DHULUMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.

Jr[emoji769]
 
Hata asipopata uraia ila amemtia na atamtia jambajamba jiwe.
Membe kamwe hawezi kuwa Rais wa nchi hii,mchezo walomfanyia Lowassa na yeye kafanyiwa. Yeye kakatwa jina kwa kufukuzwa kwenye chama. Magufuli ndo CCM kwa sasa.
 
Kachero mbobezi 😂😂😂 nachekaga sana nikisikia hili jina... CCM ina utaratibu wake, mgombea wao akiwa Rais atatawala kwa miaka 10 sasa wewe unaanza kampeni za kumtoa mapema sana mbaya zaidi unamhujumu, huko ni kukiuka taratibu za chama chao
 
U know nothing bro. Hao uliowataja ukijua visa vyao hata wewe ungekuwa Meko ungewatumbua vizuri tu... Huyo Mwandosys alikuwa akipita mitaani yeye ni kupond tu Rais hajamaliza hata miezi 6 ameanza kumchafua mitaani
 
Mwamba wa pande za Kusi, mwanadiplomasia nguli Bernard Membe ameunguruma baada ya kutoswa na CC ya CCM.

Ngoma bado mbichi kabisa hii.

Kwa undani zaidi, jipatie nakala yako ya "The Citizen" hapo kesho Jumamosi 29 February.

View attachment 1372047,
NDOTO YA KULA PANYA!!! SALIM NA MALECHELA WAPO WAPI! ATAKUJA KUUZA TRENI NA NDEGE ZETU HATUFAI
 
1.Mearsheimer writes the ultimate tract on realism in international affairs, reaching the sad conclusion that peace among nations is a utopian dream.

The work uses examples from across the 20th century to demonstrate why politics among the great powers of the world always devolve into a situation of a coalition of the weaker balancing against the stronger.

He also addresses the primacy of land power and wealth in this context, and explains the rise of the U.S. in the 20th century, while positing that the 21st century will come to be dominated by the rivalry between the U.S. and China.


2.Rodman, who served in several presidential administrations, provides insights on a series of critical questions about how leadership works at the highest level of government.
Related: 24 Best Leadership Books of All Time
Through the prism of the presidencies from Nixon through to George W. Bush, Rodman focuses on how presidents choose their senior cabinet officials, how they empower (or disempower) key leaders, how they handle failure, and how they choose to receive or reject the advice of their advisors and the bureaucracy.
Presidential Leade
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…