Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Dah! Umenikumbusha Gaddafi. Jamaa alikuwa mtu mwema sana, Ila aliowaamini walimzunguka!Watu wana mafaili yake. Aangalie asije akashtukia ana kesi ya money takatisha. Uchunguzi wa kesi utaendelea mpaka November.
Magu mwenyewe anasema BWM kwake ndiyo kila kitu, bika yeye asingefika hapo alipo. Hata hiyo nafasi yake ni mipango yake, usitegemee akamtupa
Anabebwa na vijana wasiojua kitu mitandaoni. Na yeye akiona ana trend anafikiri "anapendwa". Wakati mwingine mtu unajiuliza kama kweli alikuwa " kachero".Ninaowakumbuka na walioumbuka kwa kuiasi CCM TOKA VYAMA VINGI VIANZE
1. KIGHOMA ALLY MALIMA (rip)
2. AUGUSTINO LYATONGA MREMA
3. EDWARD LOWASA
4. FREDRICK SUMAYE
5. KINGUNGE NGOMBALE MWIRU
Hawa wote walikuwa na nguvu kubwa kiuchumi na kisiasa kuliko Ben Membe waliondoka wakatukana CCM kwa nguvu zote lakini mpaka leo CCM ndiyo inayotawala Tanzania. Binafsi siioni kabisa impact ya huyu waziri wa zamani ni kama tone la maji baharini.
MKIA HAUNA UBAVU WA KUMTIKISHA NGOMBE.Mkia hauna ubavu wa kumtikisa Ng'ombe
Hata Nyerere analijua hilo, Azimio la Arusha tulianza kufungia vitumbua Nyerere akiwa hai na hakuna alichofanya zaid ya Makelele tu!
Kidumu chama cha Mapinduzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure ACT atapewa nafasi, atasaidia kupata wabunge kadhaaAtajijua. Akagombee kupitia ACT.Kina Zitto watampokea kwa mikono miwili. Kama alishindwa kuwa Rais 2015 kipindi kaka yake anaachia ngazi,basi kamwe hawezi kuwa Rais wa nchi hii Tanzania.
Vile vile usisahau kuwa kila hatua anayopiga inafuatiliwa mwanzo mwisbo hivyo hata akijamba tutajuaMwamba wa pande za Kusi, mwanadiplomasia nguli Bernard Membe ameunguruma baada ya kutoswa na CC ya CCM.
Ngoma bado mbichi kabisa hii.
Kwa undani zaidi, jipatie nakala yako ya "The Citizen" hapo kesho Jumamosi 29 February.
View attachment 1372047,
Pia Gazeti la Mwananchi, Februari 29, 2020 limeandika:
View attachment 1372062
And its gonna kick your blind arses....The last kicks of a dying horse 😅😅
Hofu yenu ni NINI!???Vile vile usisahau kuwa kila hatua anayopiga inafuatiliwa mwanzo mwisbo hivyo hata akijamba tutajua
Hana mvuto kwako kwani kabla ya kugombea urais JK ulimfahamu?Maybe........ila atakwama maana hana mvuto sana kisiasa labda kwenye social media......2015 EL hata alivyoenda cdm mtaani alikuwa na watu wanaomkubali....ila huyu naona threads tu hapa JF na twitter.....ngoja tuone nn mwisho wake
Sawa mama Cyprian bahati nzuri membe hakujui na hawezi kukujua mpka unakufa na uke wako unaliwa mchwaWatu wana mafaili yake. Aangalie asije akashtukia ana kesi ya money takatisha. Uchunguzi wa kesi utaendelea mpaka November.
Safari hii hatuzungushi tutaichomeka nyuma kwako tu.Kamanda tusubiri kuzungusha mikono kwa Membe2020.
Umeridhika sasa?Ulitaka twende na MDUKUN wako?
Hugo atauza nchi ni msela fulani tu hivi hata kwa kumuangalia tu..walompiga chini walishaona mbali kitamboHapa ndipo utajua kwa nini CCM hawataki mgombea binafsi.
Nimekusaidia kuyakuza maandishi ili yaonekane vizuri zaidi.Safari hii hatuzungushi tutaichomeka nyuma kwako tu.
Huyo atauza nchi ni msela fulani tu hivi hata kwa kumuangalia tu..walompiga chini walishaona mbali kitambo
Sent using Jamii Forums mobile app
ShitholeUmeridhika sasa?
Kwanini asisemwe? Yani ukisema unafutuka?!U know nothing bro. Hao uliowataja ukijua visa vyao hata wewe ungekuwa Meko ungewatumbua vizuri tu... Huyo Mwandosys alikuwa akipita mitaani yeye ni kupond tu Rais hajamaliza hata miezi 6 ameanza kumchafua mitaani