Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

Ninaowakumbuka na walioumbuka kwa kuiasi CCM TOKA VYAMA VINGI VIANZE
1. KIGHOMA ALLY MALIMA (rip)
2. AUGUSTINO LYATONGA MREMA
3. EDWARD LOWASA
4. FREDRICK SUMAYE
5. KINGUNGE NGOMBALE MWIRU
Hawa wote walikuwa na nguvu kubwa kiuchumi na kisiasa kuliko Ben Membe waliondoka wakatukana CCM kwa nguvu zote lakini mpaka leo CCM ndiyo inayotawala Tanzania. Binafsi siioni kabisa impact ya huyu waziri wa zamani ni kama tone la maji baharini.
Anabebwa na vijana wasiojua kitu mitandaoni. Na yeye akiona ana trend anafikiri "anapendwa". Wakati mwingine mtu unajiuliza kama kweli alikuwa " kachero".
 
Mkia hauna ubavu wa kumtikisa Ng'ombe


Hata Nyerere analijua hilo, Azimio la Arusha tulianza kufungia vitumbua Nyerere akiwa hai na hakuna alichofanya zaid ya Makelele tu!

Kidumu chama cha Mapinduzi
Sent using Jamii Forums mobile app
MKIA HAUNA UBAVU WA KUMTIKISHA NGOMBE.

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].

Imebidi nirudie hii sentensi tena kwa herufi kubwa huku nasisitiza tena kusema USIGOMBANE NA BABA YAKO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwamba wa pande za Kusi, mwanadiplomasia nguli Bernard Membe ameunguruma baada ya kutoswa na CC ya CCM.

Ngoma bado mbichi kabisa hii.

Kwa undani zaidi, jipatie nakala yako ya "The Citizen" hapo kesho Jumamosi 29 February.

View attachment 1372047,

Pia Gazeti la Mwananchi, Februari 29, 2020 limeandika:
View attachment 1372062
Vile vile usisahau kuwa kila hatua anayopiga inafuatiliwa mwanzo mwisbo hivyo hata akijamba tutajua
 
Maybe........ila atakwama maana hana mvuto sana kisiasa labda kwenye social media......2015 EL hata alivyoenda cdm mtaani alikuwa na watu wanaomkubali....ila huyu naona threads tu hapa JF na twitter.....ngoja tuone nn mwisho wake
Hana mvuto kwako kwani kabla ya kugombea urais JK ulimfahamu?

sawa hana mvuto kwanini aogopwe na watawala?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U know nothing bro. Hao uliowataja ukijua visa vyao hata wewe ungekuwa Meko ungewatumbua vizuri tu... Huyo Mwandosys alikuwa akipita mitaani yeye ni kupond tu Rais hajamaliza hata miezi 6 ameanza kumchafua mitaani
Kwanini asisemwe? Yani ukisema unafutuka?!
 
Back
Top Bottom