JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,957
Kama sivyo ya nini kumfukuza na kumpa umaarufu? Maana katika zama hizi mtu anayemkosoa bwana yule asiyetenda kosa huonekana shujaa, Membe kamkosoa waziwazi bila kuogopa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kweli Membe anaamini alikuwa tishio kwa JPM ndani ya CCM?
He can’t be serious.
Sent using Jamii Forums mobile app