Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

Kazi na bata tunaikosa hivi hivi
 
Watu wana mafaili yake. Aangalie asije akashtukia ana kesi ya money takatisha. Uchunguzi wa kesi utaendelea mpaka November.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Membe kamwe hawezi kuwa Rais wa nchi hii,mchezo walomfanyia Lowassa na yeye kafanyiwa. Yeye kakatwa jina kwa kufukuzwa kwenye chama. Magufuli ndo CCM kwa sasa.
Malipo hapa hapa duniani
 
Tunazikosaaa bata za waziwazii kwa rais wetu huyu
 
Anatoka CCM anakwenda ACT nao watamsimamisha October, obviously CDM hawawezi kukubali kushirikiana na ACT kutokana na kwamba kiongozi wake ni unreliable, hivyo nao wataweka mgombea wao! Kwa upande mwingine CUF itaimarishwa kidogo kisha tunampeleka straika mwingine pale. Hivyo kwa upande wa Upinzani ule UKAWA uliotusumbua mwaka 2015 hautakuwepo tena unless Mbowe akubali kuweka pembeni tofauti zao na Zitto (jambo ambalo sio rahisi)

Pengine tutarajie wagombea urais kwa upande wa Upinzani watakua 03 dhidi ya jembe moja la CCM kisha wagawane kura huku upande mwingine wakichukua nchi kiulaini. Membe yupo kazini tukumbuke hakuna kustaafu kwa wewe uliyebeba siri zetu.

Huo ni utabiri wangu msinipige mawe.

Mwl. Mstaafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ndiyo sababu pekee.

Watafute wote waliomsumbua 2015 akigombea, wale front runners wote kawafukuza kwa kashfa.

Prof.Mwandosya, Prof.Muhongo, Mwigulu, January, na sasa Membe. Sijui atafuata nani lakini wote waliokuwa top 10 na top five kagalagaza katupa.

Hahahaha Eti yeye ndiye msafi, wakati kashfa zake hataki ziguswe, Meli kawapa wanajeshi, Nyumba za serikali hataki kusikia.
Ninyi si mlisema kwamba huyo ni kachelo mbobezi hawezi kufukuzwa, haya kafukuzwa sasa. Chukueni kapi hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom