Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kabisa mkuu sijui ni kitu gani tafadhali
In God we Trust
In God we Trust
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chomoka kwenye box, acha kusujudia watu kwani hapo kosa liko wapi?utumwa wa fikra na ukoloni mambo leo unatutesaWatz bana,"wanaaminishwa eti nguli wa UKACHERO mstaafu anaweza kwenda nje ya mstari" na wanaamini, Tz ina vihoja.
Baada ya hapo arudi nyumbani kuunga juhudi huku akipokelewa kwa mbwembwe Na jpm...
Kabisa mkuu sijui ni kitu gani tafadhali
In God we Trust
Nimeitaja, unanipangia cha kusema?
Kwanini unalitelekeza lile bus pale bandarini?Cdm tangu walivyo kupiga mimba na kukukimbia naona huwaachi kuwaongelea
In God we Trust
Yaani bora wangemuacha achukue form ili wamnyime kura ingekuwa vizuri sana maana hapo kweli watanzania wangeamini CCM hamuogopi kabisa.Yeye na washabiki wake wamejiaminisha kuwa eti anaogopwa.
Anaogopwa kwa lipi hasa?
Kujipa tu umuhimu ambao hana.
Huo upinzani wa kweli uko wapi?Binafsi naona naona ni muda muafaka kwa membe kujiunga na upinzani wa kweli ili kutimiza ndoto zako za kuwa tz President... Karibu act
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo upinzani wa kweli uko wapiBinafsi naona naona ni muda muafaka kwa membe kujiunga na upinzani wa kweli ili kutimiza ndoto zako za kuwa tz President... Karibu act
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama ni hivyo woga wote huu unatoka wapi? Kwa nini asiachwe ajaribu bahati yake na akishindwa, si basi? Kwa nini afukuzwe hadi uanachama?Membe huyu hata akiogombea leo, ndani ya halmashauri kuu na Kamati kuu hapiti; amebaki nawafuasi wachache sana ambao hata wote wakipimpa kura zao hawezi kufikisha 25%.
Tetesi zinasema wajumbe wengi hawakubariki hatua hiyo ila kama kawaida ya awamu hii udikteta ulitumika. Je tetesi hizo zina ukweli?Kamati kuu iliyomfukuza ndiyo pia inayopitishajina la mgombea wa CCM; sasa kama imeweza kumfukuza ni kweli ingepitisha yeye na kumwacha mwenyekiti wao?
Kama huo upinzani haupo, haya matumizi ya polisi dhidi ya wananchi wasiounga mkono juhudi za nini? Fikiria mpaka inafikia Mwenyekiti wa Chama, Mbunge na Kiongozi Mkuu wa Upinzani Bungeni anawekewa mikwara asiweze kukutana na wananchi waliomchagua, je hapo tueleweje? Tatizo lako Kimbunga siku zote ni kwamba unaamini unajua kumbe hujui kitu na watu kama wewe ni hatari sana kwa afya ya taifa.Huo upinzani wa kweli uko wapi
Sasa kabobolewa bila kutarajia,ubobezi wake umeishia kwa wapambe wake humu JF,Membe ataisikia tu ikulu sana sana ataenda kuomba msamaha lakini kuwa mkazi asahau
Yule jamaa anaogopa upinzani kuliko ebola..CCM wangemuacha tu agombee.
..asingeweza kumshinda Magufuli ktk kura za wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM.
..CCM ina tabia ya kutumia mabavu hata ktk masuala yasiyohitaji mabavu.